Jeshi la Polisi lasitisha vibali vyote vya mbio, jogging, maonesho na maandamano kwa sababu za kiusalama

Hogging ni vijiwe vya umalaya tu niliingià humo kula pis Kali track imewamba tako Kama la Khumbu kuna mazoezi hapo
 
Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.

Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ni jambo zuri.Alishindwa kusema,alitaka sana kusema,nilimwona akaogopa kusema corona akaweka kwenye mabano.Nikamsaidia kumalizia kwa sababu ya Corona.

Amekuwa muwazi Amewaunga mkono Viongozi wa dini wasomi,Dr.Fr.Kitima Rc. Na Dr.Shoo KKKT,kwa kuwaambia ukweli Watanzania.kasoro tu hakuthubutu kutaja corona.Ametii,walishaonywa wasitamke au wasitaje hilo jina.

Namwomba pia awaunge mkono mkurugenzi na meya huko Moshi kama wanavyotaka kufunga baa za mbege, naye afunge baa za mbege hapo kwake kuzuia maambukizi ya corona.Ila baa za bia asifunge,ligi asifunge serikali itakosa mapato,wasafiri waachwe wabanane kama mananasi kwenye mwendo kasi kwani serikali inataka kodi,watoto wa shule hasa primary waendelee kubanana sana madarasani kwa sababu wanataka elimu.na mengine kama haya ayaache km.Soko la Kariakoo,ilala nk.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.

Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Umesitisha? Kwani kuna 19
 
Polisi waache mambo ya kitoto! Walitakiwa waseme wamesitisha kwa sababu ya hili janga la corona.

Na tunatarajia hata wale fisiemu walio tutishia nyau kutaka kumshinikiza yule mungu wao kutawala milele, wataifyata mikia yao kuanzia sasa.
Haya ni maandalizi ya movie ya "NITATAWALA MILELE".
 
Back
Top Bottom