Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,372
- 30,310
Hilo jamaa pumbavu sana halafu lina jina la kisukuma.Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri
Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea
====
Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha Mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu (Jina limehifadhiwa) kwa kumchezeachezea sehemu za siri.
“Tarehe 16/9/2021 majira ya saa 10 jioni huko kitongoji cha Kaloleni, kata ya Janga, Wilaya ya Mlandizi mkoa wa Pwani mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea chezea sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea”——— Wankyo Nyigesa, RPC Pwani.
Hakuna wasukuma wenye akili za kishenzi namna hiyo hilo litakuwa limetoka wapi ?