Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri ———> “alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea"
dawa yake ni kumfunga mashine ya kukamulia maziwa kunako
 
Mbona ajamtaja Muslim yyt hapo....

Tatizo cjaona .../

Nielekeze plz.../
Ipo kasema anawasiwasi namatendo ya hivi na dini y kiislam katolea mfano nuhu na safina yake hamuamini huenda nae aliwabak waheNga.h ishu imenkwaza.Allgame
 
Bwege we mzaz wako alkupelek shule elim yako isaidie jamii sa huNa dira.usichanganye matendo ya mtu na dini mwambie na mwenzio muache udini.tag ubavu nyie
Kiswahili chako ulijifunzia madrasa nini? Sitishwi na mvaa kubazi mimi.
 
Kiswahili chako ulijifunzia madrasa nini? Sitishwi na mvaa kubazi mimi.
Acha ulmbken wa kuandka andka ujinga elim yako unayosemea n hii y kuandka utumbo wa dini pengne unapwaya km k-ya amber ruti huNa maajabu.udini ulpingwa long
 
Mtu kama huyo unampa kama nyundo 15 zinamtosha,Akitoka Jela akiwaona Watoto Anawaamkia.
 
Kuna vitoto vimebarikiwa vitumbua hatari sana Kama uliruka stage za kucheza komborela yanaweza kukukuta
 
Nyegezi za kishenzi sana,
Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri

Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea

====

Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha Mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu (Jina limehifadhiwa) kwa kumchezeachezea sehemu za siri.

“Tarehe 16/9/2021 majira ya saa 10 jioni huko kitongoji cha Kaloleni, kata ya Janga, Wilaya ya Mlandizi mkoa wa Pwani mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea chezea sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea”——— Wankyo Nyigesa, RPC Pwani.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom