Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,694
2,000
Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri

Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea

====

Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha Mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu (Jina limehifadhiwa) kwa kumchezeachezea sehemu za siri.

“Tarehe 16/9/2021 majira ya saa 10 jioni huko kitongoji cha Kaloleni, kata ya Janga, Wilaya ya Mlandizi mkoa wa Pwani mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea chezea sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea”——— Wankyo Nyigesa, RPC Pwani.
Hilo jamaa pumbavu sana halafu lina jina la kisukuma.

Hakuna wasukuma wenye akili za kishenzi namna hiyo hilo litakuwa limetoka wapi ?
 

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,844
2,000
Hilo jamaa pumbavu sana halafu lina jina la kisukuma.

Hakuna wasukuma wenye akili za kishenzi namna hiyo hilo litakuwa limetoka wapi ?
Hilo sio lisukuma,Lugendo ni watu wa huko Handeni.
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
61,647
2,000
Insikitisha sana...

Wanawake wote wa size yake walivyojazana anaenda kumuharibu mtoto mdogo...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom