Jeshi la Polisi lakanusha kwamba lina Maslahi duni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,997
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Kamanda Misiime, amekanusha habari zilizoandikwa na vyombo mbali mbali vya Habari nchini kwamba askari wa jeshi hilo wana masilahi duni.

Amedai kwamba Awamu ya sita imeboresha sana maslahi ya askari wake kiasi cha kuwarahisishia maisha, Kamanda Misiime ametoa onyo kwa askari wanaoomba hela ya mafuta wanapoitwa na wanachi kukamata wahalifu.

Chanzo: EA TV
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania , Kamanda Misiime , amekanusha habari zilizoandikwa na vyombo mbali mbali vya Habari nchini kwamba askari wa jeshi hilo wana masilahi duni .

Amedai kwamba Awamu ya sita imeboresha sana masilahi ya askari wake kiasi cha kuwarahisishia maisha , Kamanda Misiime ametoa onyo kwa askari wanaoomba hela ya mafuta wanapoitwa na wanachi kukamata wahalifu .

Chanzo :EA TV
Amejibu kisiasa zaidi
 
When common sense is not common.
Uko sahihi. Polisi tunaishi nao na wengine ni marafiki zetu Sana. Maisha Yao tunayajua na malalamiko ni haya haya. Askari wanalalamika kuhusu maslahi na posho, yeye anaongelea ununuzi wa magari yanayotumiwa zaidi na viongozi kuliko Askari wa kawaida.
 
Back
Top Bottom