Jeshi la polisi lajianika

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,068
Mara nyingi Jeshi la polisi linashutumiwa kwa mambo mbalimbali hasa uonevu na kutumia nguvu zisizo za lazima!

Leo nimeona taarifa ya habari itv,kulikuwa na msako wa watu wanaotengeneza bidhaa feki!Nilichoshangaa ni kitendo cha polisi mwanamke kuanza kumchapa makofi binti ambaye tayari alikuwa amesurrender!Yaani mtuhumiwa tayari umemuweka chini ya ulinzi na wala hajaresist halafu unaanza kumpa kipigo! Kama jeshi linashindwa kufuata sheria tena hadharani,wanatoa picha gani kwa wananchi?

Jeshi ndio ambalo linatakiwa lisimamie sheria ndio linavunja sheria tena hadharani?Polisi ana mamlaka ya kumpiga mtu hata kama ni mhalifu akiwa chini ya ulinzi?shame
Cc Mwigulu Nchemba
 
Weee!!! Hawasemwi hawa watu.maana waliingizia taifa hela.nyingi sana (Police Revenue Authority)
Kwan mapato yenyewe yanafika?Hivi ile dhamana wanayopata watuhumiwa wakiwa kituoM cha polisi huwa inaenda wapi?Hapa ndio polisi wanapiga hela za watu!
 
Mara nyingi Jeshi la polisi linashutumiwa kwa mambo mbalimbali hasa uonevu na kutumia nguvu zisizo za lazima!

Leo nimeona taarifa ya habari itv,kulikuwa na msako wa watu wanaotengeneza bidhaa feki!Nilichoshangaa ni kitendo cha polisi mwanamke kuanza kumchapa makofi binti ambaye tayari alikuwa amesurrender!Yaani mtuhumiwa tayari umemuweka chini ya ulinzi na wala hajaresist halafu unaanza kumpa kipigo! Kama jeshi linashindwa kufuata sheria tena hadharani,wanatoa picha gani kwa wananchi?

Jeshi ndio ambalo linatakiwa lisimamie sheria ndio linavunja sheria tena hadharani?Polisi ana mamlaka ya kumpiga mtu hata kama ni mhalifu akiwa chini ya ulinzi?shame
Cc Mwigulu Nchemba
Weka Picha
 
Kama uliwahi kutoa hela ili dhamana itoke fahamu kua na wewe ni mhalifu
 
Mara nyingi Jeshi la polisi linashutumiwa kwa mambo mbalimbali hasa uonevu na kutumia nguvu zisizo za lazima!

Leo nimeona taarifa ya habari itv,kulikuwa na msako wa watu wanaotengeneza bidhaa feki!Nilichoshangaa ni kitendo cha polisi mwanamke kuanza kumchapa makofi binti ambaye tayari alikuwa amesurrender!Yaani mtuhumiwa tayari umemuweka chini ya ulinzi na wala hajaresist halafu unaanza kumpa kipigo! Kama jeshi linashindwa kufuata sheria tena hadharani,wanatoa picha gani kwa wananchi?

Jeshi ndio ambalo linatakiwa lisimamie sheria ndio linavunja sheria tena hadharani?Polisi ana mamlaka ya kumpiga mtu hata kama ni mhalifu akiwa chini ya ulinzi?shame
Cc Mwigulu Nchemba
Sema Polisi, sio Jeshi!
Polisi ni Polisi tu, hakuna kitu kama jeshi la Polisi!
 
Back
Top Bottom