Jeshi la polisi laipaisha Tanzania kwa rushwa Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi laipaisha Tanzania kwa rushwa Afrika Mashariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by loiluda, Oct 21, 2011.

 1. l

  loiluda Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka jana kutokana na utafit ulofanywa kuhusu rushwa Afrika mashariki na kati, Tanzania katika nchi tano za ukanda huo imepanda hadi kuwa ya tatu,tofauti na ambavyo ilikuwa mwaka jana ambapo ilikuwa ya nne.Miongoni mwa taasis zilizoifikisha hapo jeshi la polisi ndilo linaloongoza,likifuatiwa na mahakama.

  Ni wakati sasa wa jeshi la polisi kuwekeza katika kupambana na ualifu huo uliopo ndani yao wenyewe,wamewekeza nguvu nyingi kuzuia maandamano, na kutekeleza maagizo ya sisiem na kusahau majukumu mazito ya kujisafisha na kujiaminisha kwa wananchi,ni ukweli ulio wazi kuwa dhana yao polisi shirikishi haitafanikiwa kwa kiwango stahili kama hawatajirekebisha..

  Jeshi la polisi barabarani limegeuka na kufanana na watu wa parking ambao gari likipaki tu wanatoza ushuru,tofauti ni kuwa wao hawatoi risiti,na wao ndio wakiyalazimu magari kupaki kwa kuyasimamisha.
   
 2. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,047
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Angalau na sisi kama Taifa kuna maeneo tunashika nafasi za juu, dah,Kweli Jeshi la Polisi lina vipaji na inabidi vilindwe na viendelezwe....
   
Loading...