P Primier Member Dec 16, 2015 86 14 Jan 7, 2016 #1 Ni katika harakati za uzuiaji wa madawa ya kulevya toa maoni kuhusu hii hoja
O Olecranon JF-Expert Member Apr 11, 2011 1,384 751 Jan 7, 2016 #2 Primier said: Ni katika harakati za uzuiaji wa madawa ya kulevya toa maoni kuhusu hii hoja Click to expand... Hatuwezi kutoa maoni kwa habari isiyoeleweka.
Primier said: Ni katika harakati za uzuiaji wa madawa ya kulevya toa maoni kuhusu hii hoja Click to expand... Hatuwezi kutoa maoni kwa habari isiyoeleweka.
kidadari JF-Expert Member Jul 26, 2012 8,647 9,595 Jan 7, 2016 #3 Madawa ya kulevya yanakaa kwenye mabasi?
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,849 67,285 Jan 7, 2016 #4 kamanda Sirro ameingia na mkwara mzito sana