SPY CATCHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 285
- 186
Leo wametoa statement kuwa watu wanatumia mitandao ya TELEGRAM....
Jeshi la police kudhani kuwa watu bado wanatumia TELEGRAM kwenye karne hii inatuaminisha kuwa Jeshi letu na kama walivyo watawala wetu wako dunia nyingine na sisi wananchi wa kawaida
Hii ndio nchi inayojisifu kuwa ina uchumi wa VIWANDA (bila umeme of course). Naona hakukuwa na haha ya kupiga sana kelele kuhusu hiyo so called CYBER CRIME ACT kwa sababu hawa watawala na watu wa law enforcement bado wake kwenye stone age wakati wananchi wake kwenye Twitter.
Kichekesho lakini you get the picture ya watawala wetu na thinking zao