mfungua mafundo
Senior Member
- Dec 19, 2012
- 121
- 74
Kupata kichekesho kingine kama hiki tuma neno KICHEKESHO kwenda namba15444
Kupata kichekesho kingine kama hiki tuma neno KICHEKESHO kwenda namba15444
You are hopeful in idiocyWewe hopeless kabisa ya CCM yalifanyika yapo kwenye katiba ya CCM?
Thank you for displaying your idiocy publiclyWewe ni mpumb...vu,katiba ya ccm inaeleza muda wakumchagua Mwenyekiti na sio mwezi huu tare 23.
Wewe ni punguani.
Can you tell us your entry point to this thread?before judging them lets first check on their entry point to national service..,,,ndo maana wanafundishwa fundishwa each and everything to do.....nilihisi tyu kwamba lazima tamko lao waliolisema wao wenyewe lazima walitengue maana CHIMWAGA inakuja hiyo so wanaandaa mazingira
Bhikalamba!Ndg, spade4spade najua we ni miongoni mwa wale vijana 46 waliotajwa kwenye maazimisho ya chama kule singida vipi hujaukwaa tu uheshimiwa maana chairperson alimwomba jamaa asiwasahau kwa kazi yenu nzuri Mtandaoni. Tuyaache hayo hebu niambie vizuri labda mie sijaelewa Msingi wa katazo la polisi ilikuwa si kupiga marufuku ya kuikosoa serikali. Bali hali ya usalama, kwa hoja ya kuwepo viashiria vya uvunjifu wa amani. Ndio sababu ya kuzuia mikutano ya hadhara kwasababu inahusisha halaiki ya watu udhibiti wa hali ya utulivu ni mdogo. Mikutano ya ukumbini na mahafali hata kama ni ya chama Fulani havikuwa kwenye misingi ya katazo kwahiyo hoja yako kuwa mkutano wa zitto pale ukumbini ulikuwa na nia kuisema serikali vibaya haina mashiko kwani suala la kuikosoa serikali ni la muda wowote na ni haki ya kila mwananchi bila kujali chama. Hivyo kutokana na ufafanuzi uliotolewa na polisi, zuio la mkutano wa zito pamoja na mahafali ya CHASO ni batili kwani haviendani na misingi ya katazo. Polisi walibugi na we pia unazidi kubugi
Wamesema hawakuzuia, wewe unawaomba wazuie mkutano wa CCM Dodoma, mnajichanganya mkuu. Kama walizuia mikutano, mbona mlifanya mkutano Butiama mkoani Mara na mpaka mkaweka azimio la kwenda Dodoma kuisaidia police kuzuia ccm, na wala hamkutawanywa? Mlienda mbali mpaka mkaandikisha vijana 300 waliofuzu mafunzo yao huko Mara. Jmn amani yetu ni kitu muhimu sana.
hakika!!