Nimefuatilia loss report katika kituo kimoja cha polisi hapa Dar wakaniambia hawana vitabu niende salender police au kituo chochote kulipia then nirudi pale na risiti.
Nikaamua kwenda mabatini na osterbay nako tatizo ni hilo hilo hakuna vitabu wiki ya pili sasa.
Serikali iliyodhamiria kuongeza mapato hili lishughulikiwe haraka. Wananchi tunapata shida 1500 inakuzungusha mji mzima!