JESHI LA POLISI CHUKUENI HATUA DHIDI YA ZITTO ZUBERI KABWE KWA KAULI YA DHIHAKA KWA KIONGOZI ALIYEKUWA MKUU WA NCHI DR.JOHN POMBE MAGUFULI

Waanze kwanza kuchukua hatua dhidi ya wale Magufuli aliowatumia kufanya mauaji ya waliompinga na kuwateka nyara. Kuna watu wanatamani hata wangepata fursa ya kuichapa viboko maiti kwa jinsi alivyowaumiza, huo ndio ukweli
Kama mimi ninavyotamani nikubananishe mahali nikubabue mkofi mmoja tu ukupeleke kuzimu
 
Zito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi??
Tena mama yake Zito alikuwa mlemavu kiwetev akamlea kwa shida mno na ukiwete wake

Kuonyesha upendo kwa mama yake kiwete ,Zitto Kabwe angejitolea kuzikwa naye
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Wewe ni Sukumagang?
 
Mtume anatukanwa na kudhihakiiwa , Yesu anadhihakiwa na hata Mungu anatukanwa sembuse Kada wa CCM aliyetangulia TU kama binadamu wengine.

Hakuna Jinai Bali ni utani kati ya Muha na Wasukuma gang.
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Ninadhani Zitto ni mradi maalum wa Timu Msoga kama ilivyokuwa akitumika kwenye ile awamu yao.
FB_IMG_1650272679186.jpg
 
wanasemwa Mitume wa Mwenyezimungu wamekufa karne na karne zilizopita ndio nje kuwa J
Magufuli?

Mazuri yake yatasemwa na atasifiwa na mabaya yake yatasemwa na atalaumiwa

mie nikimsifu kwa kujenga flyover ya Ubungo sio lazima na Mke wa Azory Gwanda au Baba yake Ben saanane amkumbuke JPM kwa hilo daraja …tusilazimishe tufanane comment

kuna Viongozi ndani ya Bunge walishauri Zitto Kabwe auawe kwa kusaliti Nchi …ulitaka Zitto aukumbuke utawala ule kwa kujenga uwanja wa ndege wa Chatto?

kuna kina Lissu hadi wamekuwa walemavu wa maisha yote ulitaka wamkumbuke JPM kwa kukataa lock down?

huyu JPM aliwahi kumlaumu hadharani Dr Shein kwa kuruhusu Maalim Seif kwenda kutibiwa India kwa gharama za Serikali kisa eti Maalim alikataa salamu ya Dr Shein kwmy Msiba wa Hayati Aboud Jumbe

kila mtu ana uhuru wa kumkumbuka kwa namna alivyofaidika au kuathirika na utawala ule

Tena mama yake Zito alikuwa mlemavu kiwetev akamlea kwa shida mno na ukiwete wake

Kuonyesha upendo kwa mama yake kiwete ,Zitto Kabwe angejitolea kuzikwa naye
 
Kina Bulembo kule bungeni walisema Zitto auawe kwa sababu ni msaliti wakapiga meza wabunge wengi, Jeshi la polisi lilimkamata Bulembo na wenzie?

Bwana Kheri James wakati huo UVCCM aliwahi kusema Lissu achomwe sindano ya sumu,Je uliwaambia polisi wamkamate?

Ni bora ukatulia tu,michezo mliyoanzisha ndio inawagharimu na bado.
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu 😄
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Kaeni kwa kutulia dawa iwaingie. Mlipikuwa mnatukana kila mtu enzi zile mbona sisi tulitulia?
 
Tena mama yake Zito alikuwa mlemavu kiwetev akamlea kwa shida mno na ukiwete wake

Kuonyesha upendo kwa mama yake kiwete ,Zitto Kabwe angejitolea kuzikwa naye
Sawa sawa kabisa. Mnapofurahia kukebehi wenzenu namna hii muwe pia na uvumilivu wapendwa wenu wanapotukanwa, simangwa na kubagazwa kwa matendo yao waliyoyafanya wakiwa hai
 
Kina Bulembo kule bungeni walisema Zitto auawe kwa sababu ni msaliti wakapiga meza wabunge wengi, Jeshi la polisi lilimkamata Bulembo na wenzie?

Bwana Kheri James wakati huo UVCCM aliwahi kusema Lissu achomwe sindano ya sumu,Je uliwaambia polisi wamkamate?

Ni bora ukatulia tu,michezo mliyoanzisha ndio inawagharimu na bado.
Haya maccm? Hovyo!
 
Back
Top Bottom