Jeshi la Misri lasimama upande wa Wananchi, mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la Misri lasimama upande wa Wananchi, mfano wa kuigwa

Discussion in 'International Forum' started by Chief Isike, Feb 2, 2011.

 1. Chief Isike

  Chief Isike JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wajumbe wanajeshi wa Misri wametuma ujumbe sahihi across the world kwa kitendo chao cha kuamua kusimama upande wa wananchi, wakisema hawawezi kuingilia kinachoendelea nchini humo kwani kazi yao ni kuilinda nchi against maadui wa nchi. Period.

  Here is the quote from one of the Daily Swahili Newspaper (Majira) "Jeshi la Misri limesema halitatumia nguvu dhidi ya maelfu wanaoandamana kuuondoa madarakani utawala wa Rais Hosni Mubarak.

  "Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa kwa vyombo vya habari, halitafanya hivyo kutokana na kuwa linaheshimu haki za watu..."

  They said "Kwa heshima kubwa kwa wananchi wa Misri, vikosi vyetu havitatumia silaha, kwa kutambua uhalali wa haki za watu na kwa kutambua hilo, halitatumia nguvu dhidi ya rais wa Misri."

  Tehe tehe tehe tehe, Rais upo, Mwamunyange upo, Mzee A. Shimbo upo hapo, kama vile labda urudi ukajifunze tena maana halisi ya JESHI LA WANANCHI, Misri wameonesha kuwa kweli ni jeshi la wananchi kwa vitendo, si kwa jina. Thanx
   
 2. m

  mtimbwafs Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu nizaliwe miaka takribani 40 sasa jambo hili limeniachis mafunzo na maswali mengi mno. Haijawahi kutokea Jeshi lolote katika africa kufanya kitendo cha kishujaa na cha kinidhamu ya hali ya juu hasakwa kuzingatia haki na wajibu wao. Hongera mkuu wa majeshi ya Misri hakika ustaarabu upo Misri.

  Hebu tazama hapa kwetu siku zote Majeshi yanaegemea kwa watawala na wanasahau taaluma zao mifano tunayo, Tazama migomo vyuoni, maaandamano ya Arusha, mauaji ya pemba hii yote inaonyesha ni jinsi gani Majeshi yetu yametawaliwa na siasa. Naomba CDF, IGP na wengine wengi waende wakajifunze kitu Misri.
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Major General Shimbo has to learn something and advice his General Mwamunyange and stand by that. Vivyo hivyo kwa IGP Mwema! Wasilemazwe na hayo marupu rupu - pororo za jeshi while wanandugu wengi wanakufa mitaani kwa matatizo ya CCM kutokuwa makini.
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
 5. w

  warea JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wavaa magwanda wa Misri ni wastaarabu. Hata kauli yao ya mwanzo haikuwa na vitisho. Waliwaomba wananchi warudi majumbani mwao. Wananchi wakakataa. Sasa kwa vile wao kazi yao ni kulinda nchi, wameamua wawe upande wao wa kulinda nchi, sio kuua wananchi.

  Tatizo la viongozi wengi huwa ni kiburi. Hawataki kuonekana wameshindwa. Hung'ang'ania kitu hata kama kina madhara. Kisa wao hawashindwi.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  JWTZ = Jeshi la Wala-nchi Tanzania
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  huyo atakuwa Shimbo mwingine
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Naangalia CNN live kwa sasa. Jamaa wanachimba mawe kwenye TAHRIR Square tayari kwa mapigano.

  Kuna wale wanamshangilia Mubaraka leo ndiyo wamekuja na kichapo cha nguvu kinatembe a kwa sasa....
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jamani NGUMI zinatembea kwa nguvu sana sana. Jeshi wameamua kuingia kwa sababu ANTI na Pro- Mubaraka wanazipiga sana.

  Mambo yanaendelea mbele ya Muzeum na wametenganishwa na mgari wa POLISI....

  Mawe yanarushwa kwa nguvu sana. Ile nchi ndiyo imekwisha jamani....

  Sasa hata akiondoka madarakani (anasema hatagombea) sijui atakimbilia wapi?

  Si akimbie tu sasa hivi au awaambie kuwa ataondoka mwisho wa mwaka baada ya kuweka serikali mpya na Rais mpya?
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu wamebadilika,

  Sasa hivi wanasema kuwa Maandamano yameisha watu warudi makwao!!!! Ndio majeshi ya Africa yanalinda watawala na sio watawaliwa.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jeshi ni lazima waingilie maana POLISI wakionekana, watachapwa kwanza wao na ndiyo warudieane wenyewe kwa wenyewe.

  Jeshi pekee ndiyo linaonekana linaheshimiwa. Wapo pale SI KUPIGA WATU ila kutenganisha makundi yanayopigana.

  Jeshi la EGYPT kwa kweli ni mfano wa kuigwa. Wangelikuwa hawa wa Tanzania, tungelikuwa tumezika MAELFU...

  POLISI bado hawajaonekana eneo hilo tangu IJUMAA.....
   
 12. k

  kiloni JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwema, Mwamunyange, Shimbo, Thobias wa Arusha.
  Mafunzo gani zaidi ya haya!?
  Je mnafahamu kuwa marupurupu mnayopata ni kodi za wananchi mnaowapiga!?? Jifunzeni tafadhali!!
   
 13. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kweli Jeshi la Misri n i la wananch..angalia wana vyobebwa na ziko incidents za kujihami kwa wanajeshi maana hujui mwarabu akipandwa na mori ataehuka kiasi gani..JWTZ wajifunze.. ila polisi wetu wasijifunze toka polisi wa Misri maana itakuwa mbaya zaidi ya hapa....i
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Chaos in Cairo as Mubarak backers, opponents clash

  CAIRO – Several thousand supporters of President Hosni Mubarak, including some riding horses and camels and wielding whips, attacked anti-government protesters Wednesday as Egypt's upheaval took a dangerous new turn. In chaotic scenes, the two sides pelted each other with stones, and protesters dragged attackers off their horses.
  The hours of turmoil were the first significant violence between supporters of the two camps in more than a week of anti-government protests. It erupted after Mubarak went on national television the night before and rejected demands he step down immediately and said he would serve out the remaining seven months of his term.
  Wednesday morning, a military spokesman appeared on state TV Wednesday and asked the protesters to disperse so life in Egypt could get back to normal. The announcement could mark a major turn in the attitude of the army, which for the past two days has allowed protests to swell, reaching their largest size yet on Tuesday when a quarter-million peacefully packed into Cairo's central Tahrir Square.
  Chaos in Cairo as Mubarak backers, opponents clash - Yahoo! News
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jeshi la Misri ni Jeshi la wananchi!

  Limetoa funzo la kuigwa na majshi yote Africa!

  Tanzania ... JWTZ ...kaeni mkao wa kuwa tayari ... anything of the same nature is just arround the coner!! Mtakuwa upande wa wananchi..msije kutia aibu! you got me!!?

  Mwenye kichwa kigumu... !

  Karibu kila siku ..kuna mgomo wa aina fulani nchini!

  Hayo ni mazoezi ...module ... ya kinachoweza kufanyika kwa nchi nzima...na kwa kuwa ni dhahiri imewezekena kwa vijisehemu vidogo vidogo then the whole is on its way...mpona hakuna mkuu yeyyote anasemea mambo haya...that means ?? ... kila mtu awe kiogozi wake yeye mwenyewe...na hayo ni maadamano nchi nzima!!
   
 16. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yeah so far hali imekuwa mbaya zaidi lakini hamna hata jeshi lilioingilia as before walikataa kabisa kuingilia haya matatizo...vizuri sana.......
   
 17. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :msela::msela::msela::msela::msela::msela::embarrassed::embarrassed::msela::msela::msela::msela:hakuna kulala watu wastaarabu wanajua haki zao jamani....idadi ya wanajeshi ni ndogo kuliko wananchi hata hapa bongo one day patakuwa hapatoshi na ukizingatia mipango miji duni sijui itakuaje kama zinachomwa moto nyumba kama kumi hivi maji tabu zimamoto wanakuja bila maji tuombe mungu itokee...napenda bora ningezaliwa misriiiiiiiiiiiii........
   
 18. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongereni misriiiiiiiii......:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: mpo juuuuuuuuuuuuuu.......mfano wa kuigwa
   
 19. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  azimio jipya .......nakuunga mawazo kweli kabisa kukuunga mkono naogopa maana huenda huna mikono...tucharuke maana inatia kinyaaaaaa.
   
 20. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :peace:Hi, ni kweli kabisa lakini hii pia imetokana na usitarabu wa wananchi! kitu cha kuelewa ni kwamba siku zote kunapokuwa na civil unrest, wachache sana wanaandamana for that course, wengi huwa wanaandamana kwa sababu zao,(hooliganism). Hakuna jeshi duniani litavumilia vitendo vya kihooligan, credit to the people of Egypt, by the way wanatukumbusha kuwa hapo ndipo cradle ya civilization, they are indeed civilized, tuige usitarabu.
   
Loading...