Jeshi la Madagascar lavamia hoteli wanayokaa Taifa Stars kwa madai ya kutaka kuwaondoa wachezaji wenye maambukizi ya Corona

TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa Stars ambao wao wanadai wana maambukizi ya Covid-19.

View attachment 2010056
Covidol haijawasaidia?
 
Mnataka kupeleka variants zenu kila sehemu..
Na huko si ndio yule mfu alishadadia ile juisi ya kovid lakini Raisi wao akamkaushia baada ya kuonywa na mabeberu
Na wawekwe karantini tu ili tuwe na kisingizio cha kufungwa...
 
Wewe mfu mbona unaropoka
 
Back
Top Bottom