Jeshi la kujenga Taifa liwape polisi ufafanuzi kwenye tangazo la ajira mpya za polisi

Mkuu kuna vitu unatakiwa uelewe hakuna msomi atakaeweza fanya maagizo ya polisi sababu mengi hayana msingi mfano..wewe uliesoma hauwezi kupelekwa front ukawapige risasi watu wanaoandamana sababu unaelewa wanachodai ni haki yao na madai ni halali ila ukiwaweka hao walifeli form 4 wao wanatekeleza tu hata kama ni kufyatua risasi wanafyatua bila kufikiria sababu uwezo wao wa kufikiria upo limited...
Unawaza kwa kutumia akili za makalioni!Degree holders wengi tu wanahitaji hiyo kazi na wapo wengine ndani ya polisi wameingia na elimu zao,na wengine wana elimu zao za juu zaidi ya degree wapo huko polisi na wanafanya kazi ya polisi vizuri tu sasa wewe jidanganye mwenyewe usitudanganye na sisi wasomi wenye lengo la kujikwamua. Polisi ni kazi kama kazi zingine.Let's go.!
 
Kidato cha nne mwaka 2016 na mwaka 2015 mbona wameachwa hii imekaaje na ndio wengi?
 
Nimecheka kwa sauti .Haya mambo ya ajira ni magumu sana pita njia hiyo hiyo unayoshikilia sasa maana umeshakosa sifa. Ila kwakuwa kujaribu ni bure wewe jaribu tu unaweza kuta wale wenye sifa zote wakapelea wakaongezwa na wengine..
 
Mkuu kuna vitu unatakiwa uelewe hakuna msomi atakaeweza fanya maagizo ya polisi sababu mengi hayana msingi mfano..wewe uliesoma hauwezi kupelekwa front ukawapige risasi watu wanaoandamana sababu unaelewa wanachodai ni haki yao na madai ni halali ila ukiwaweka hao walifeli form 4 wao wanatekeleza tu hata kama ni kufyatua risasi wanafyatua bila kufikiria sababu uwezo wao wa kufikiria upo limited...

ulete ujinga wako hadharani halafu uanze kulaumu elimu za watu!!!!

mpaka USA huko watu wanalaumiwa kwa uonezi wakiwa mstari wa mbele,sijui unazijua elimu zao!!!
 
Unawaza kwa kutumia akili za makalioni!Degree holders wengi tu wanahitaji hiyo kazi na wapo wengine ndani ya polisi wameingia na elimu zao,na wengine wana elimu zao za juu zaidi ya degree wapo huko polisi na wanafanya kazi ya polisi vizuri tu sasa wewe jidanganye mwenyewe usitudanganye na sisi wasomi wenye lengo la kujikwamua. Polisi ni kazi kama kazi zingine.Let's go.!
Basi sawa tkmiza vigezo vyao hivyo uombe mkuu
 
KUNA ALIYEITWA???? AU KIPIGIWA???
AJIRA ZA KUJUANA HIZI????
WATOTO WA WAKUU WA SERIKALI PLUS WA VYOMBO VINGINE VYA USALAMA

JE INTERVIEW YA USALAMA WA TAIFA TISS TAYARI?
 
Interview usalama wa taifa tena..??
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom