Jeshi la Kenya: wakati muafaka kulinisuru taifa?

JC

Member
Dec 19, 2007
42
0
Nani anafikiri au anamuona Raila odinga akiona kuwa amuachie Kibaki aendelee na Uraisi ..eti kwa sababu ya kulinusuru taifa lisiingie kwenye machafuko na vita vya kikabila na itikadi nyingine?

Nani anamuona Mwai Kibaki akirebika maramoja na kuona makosa yake na kuamua kumuachia Raila Odinga aendelee na Uraisi kwa ajili ya kunusuru taifa la kenya.

Inaingia akilini...kwanamnafulani atatokea mpatanishi atakaye lete muafaka wa kudumu hivi karibuni?

Kama Yote hayo hayawezekani: Je Ni wakati muafaka kwa jeshi la Kenya kusimamia nchi,Bila odinga na Raila kuweko madarakani ili kuiweka nchi kwenye UTULIVU na muafaka uendelee kutafutwa???
 
Ni hakika kama maandamano ya wiki ijayo yatafanyika kama yalivyopangwa kuna uwezekano wa watu kuumia zaidi..huku Raila na Kibaki wakiwa salama salamini. Na kama ni hivyo hapatakuwa na njia nyingine zaidi ya jeshi kumfungia Raila na Kibaki ndani ya Box..wakati muafaka ukiendelea ukifanyika..vinginevyo..hali iatakuwa ???..tusubiri tuone next week!!! Tuombe Mungu. . . . machafuko hayataendelea...!!! Vinginevyo hali ikiendelea kuwa tete na watu wakiedelea kuumia na kuteseka..Jeshi lilinde wanachi na hasa kuwaondoa hawa mafahali wawili kwenye uso wa siasa kwa muda.!!!
 
Kuna habari ambazo hazijathibitishwa Jeshi la uganda lipo mpakani na baadhi inasemekana wameingia Kenya. (Source: Aljazeerah)

Hii ni hatari maana ni provocation kwa jeshi na wananchi wa Kenya maana itachochea vurugu zaidi na kufanya jeshi kuingilia kati.

Mimi naona Bomu ambalo lipo tayari kulipuka muda wowote na viongozi wetu kuanzia JK na wengine hawapo tayari kulitegua wanasubiri lipasuke of which madhara yake ..... Wait 10days zinazokuja
 
Kuna habari ambazo hazijathibitishwa Jeshi la uganda lipo mpakani na baadhi inasemekana wameingia Kenya. (Source: Aljazeerah)

Hii ni hatari maana ni provocation kwa jeshi na wananchi wa Kenya maana itachochea vurugu zaidi na kufanya jeshi kuingilia kati.

Mimi naona Bomu ambalo lipo tayari kulipuka muda wowote na viongozi wetu kuanzia JK na wengine hawapo tayari kulitegua wanasubiri lipasuke of which madhara yake ..... Wait 10days zinazokuja

Oh God!
Bowbow, ina maana hilo jeshi linakwenda kumsaidia kibaki? Mungu epushia mbali jamani! tamaa gani hizi?? yaani haoni huruma watu walio kwisha poteza maisha??
 
Habari zimekwishaandikwa katika magazeti ya Kenya kuhusu kuingia kwa wanajeshi wa Uganda nchini Kenya, kwenye mwambao wa ziwa Victoria. Hata picha za video zimekwishachukuliwa. Inaaminika wapo nchini kwa baraka za serikali ya Kibaki.
 
Habari yenyewe hii hapa...naona hawa wote wawili(kibaki na Museveni) wako kwenye mission.


The East African Standard (Nairobi)

NEWS
13 January 2008
Posted to the web 12 January 2008

By Sunday Standard Team
Nairobi

Armed Ugandan soldiers are allegedly crossing into Kenya.

Busia residents told The Sunday Standard that some Ugandan troops have been sighted in town and in Port Victoria along River Suo.

"They are scattered all over along the borders with some patrolling along Lake Victoria," said a secondary school teacher in Budalang'i District.

According to Nambale MP-elect, Mr Chris Okemo, some of the soldiers have reportedly crossed "no-man's-land" borderline to Busia town on the Kenyan side.

"We have received reports that a number of strangers, whose mission is unknown, have been spotted in groups. We are still investigating the claims," he said.

Bondo MP-elect Dr Oburu Oginga also claimed that people in Ugandan military gear docked at Mageta Island last evening in batches.

"The first batch of 12 soldiers who spoke strange Kiswahili arrived at Mageta Island past 5pm on Friday and asked for directions to Usenge and Uhanya beach," Oburu said.

Oburu said he informed police in Bondo after more soldiers allegedly landed at Mageta two hours later.

"We are concerned with these strange military personnel in the area. The residents are worried," Oburu said.

However, Nyanza PPO Ms Grace Kaindi denied the claims.

"That is nonsense. There is no way foreign troops can be sneaked into the country since we are not at war with anybody," she said.

"We have laws that can help us deal with any security threat in the province. Residents should ignore rumours about Uganda soldiers taking positions on Kenya borders along Lake Victoria," she said police investigation showed no foreign troops.

Similar strange military arrivals were reported in Bungoma, where they allegedly boarded six buses.

Suspicion has been high in Uganda over President Yoweri Museveni's possible role in the Kenyan presidential poll fiasco.

Museveni was the only Head of State in the region to congratulate Kibaki for being re-elected.

Ugandan authorities have denied that its soldiers had crossed into Kenya.

Museveni's Media advisor, Mr John Nagenda, on Sunday denied the claims.

Uganda's Army spokesman, Captain Paddy Ankunda, also refuted the claims.

He said the only Ugandan soldiers in Kenya are training at the Karen Defence College in Nairobi.

Copyright © 2008 The East African Standard. All rights reserved. Distributed by AllAfrica Global Media (allAfrica.com).
 
Habari zimekwishaandikwa katika magazeti ya Kenya kuhusu kuingia kwa wanajeshi wa Uganda nchini Kenya, kwenye mwambao wa ziwa Victoria. Hata picha za video zimekwishachukuliwa. Inaaminika wapo nchini kwa baraka za serikali ya Kibaki.

You see I was just fig'ring out!!! Nikafikiri Dawa ya kweli ya hapo Kenya ni kwa namna fulani kuwaondoa hao viogozi wote wawili wasiwepo wote madarakani at list kwa MUDA to give break of some sort kwa poilitcs nzima ya Kenya. Hoping hiyo ingeweza kuruhusu marekebisho na usuluhisho kuendelea bila umwagaji wa damu. Ninacho ona hapa ni kuwa Kibaki is ahead of this too! Kama kweli kwa namna fulani anaruhusu Jeshi la Uganda kupenyeza nchini kwake hiyo inaondoa kabisa uwezakano wa Jeshi la Kenya kutawala na kuwa_manage yeye na Raila for the benefit of wanachi wa kenya. Tuombe isije ikawaKibaki akawa anona hivyo kweli. Maana angekuwa ni laghai wa mwisho.
 
The first batch of 12 soldiers who spoke strange Kiswahili
Interesting!!

Mimi ninachosikitika katika hayo maandamano, ni watu wa daraja la chini ndio wako mstari wa mbele!
 
Habari zimekwishaandikwa katika magazeti ya Kenya kuhusu kuingia kwa wanajeshi wa Uganda nchini Kenya, kwenye mwambao wa ziwa Victoria. Hata picha za video zimekwishachukuliwa. Inaaminika wapo nchini kwa baraka za serikali ya Kibaki.

jana magazeti ya kenya yalitoa ..leo..

MWANANCHI: Posted Date::1/14/2008 http://mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=3942

Museven adaiwa kupeleka wanajeshi 3,000 Kenya *Ni kumsaidia Rais Kibaki

*Wakenya wamshangaa

*Mawaziri EAC kukutana

*Viogozi wa kimataifa wazidi kuhaha kutafuta amani
Tausi Mbowe na Mashirika ya Habari,

ZAIDI ya wanajeshi 3,000 kutoka nchini Uganda wanadaiwa kuingia nchini Kenya katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kwa lengo la kuongeza ulinzi nchini humo.


Mkazi wa Busia aliliambia gazeti la Jumapili la Kenya 'The Sunday Standard' kuwa wanajeshi hao kutoka Uganda walionekana katika miji kadhaa huku wengine wakiwa katika eneo la fukwe za ziwa Victoria karibu na mto Suo.


"Wanajeshi kutoka Uganda wapo kwenye sehemu zote za mipaka huku wengi wakifanya doria karibu na ziwa Victoria,"alisema mwalimu wa mmoja wa shule ya sekondari kutoka la Wilaya ya Budalang?i, nchini Kenya.


Mbunge wa Nambale, Chris Okemo alisema baadhi ya wanajeshi hao wameripotiwa kuingia nchini humo lakini wengi wao walionekana katika mji wa Busia.


"Tumepokea taarifa kuwa kuna idadi kubwa ya watu wasiofahamika ambao haijulikani wamekuja kufanya nini Kenya. Wengi wa watu hao ni wanajeshi kutoka Uganda," alisema Mbunge huyo na kuongeza kuwa wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.


Mbunge mwengine kutoka Bondo, Dk Oburu Oginga naye alisema wanajeshi hao kutoka nchini Uganda waliingia nchini humo usiku kupitia eneo la Mageta wakiwa kwenye makundi makundi.


"Kundi la kwanza lilikuwana askari 12 ambao walikuwa wanaongea lugha ya Kiswahili liliingia eneo la Mageta saa 11 jioni na kuwauliza wenyeji njia ya kufika eneo lengine la Usenge na ufukwe la Uhanya katika ziwa Victoria," alisema Dk Oburu

Kwa mujibu wa Dk Oburu, baada ya saa mbili wanajeshi zaidi waliwasili katika eneo hilo hivyo kulazimika kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi Bondo.


"Huu ni ujinga hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kuingia nchini kwetu kwa kisingizo cha machafuko yanayoendelea, Kenya haina vita hivyo Uganda hawapaswi kuleta wanajeshi wao.

"Tunasheria zetu zinazotulinda, wananchi lazima wawakatae wanajeshi hao kutoka Uganda kwani wanatumia hali ya sasa ya nchi yetu kuingia nchini kwetu kwa lengo la kujinufaisha," alisema Dk Oburu.


Kwa mujibu wa The Standard, wanajeshi wengi waliripotiwa kuingia nchini humo na kuonekana kartika maeneo ya Bugoma na wakazi wa maeneo hayo wanasema kuwa waliona mabasi sita yakiwasusha askari hao.


Mpaka sasa Rais Yoweri Museveni wa Uganda ndiye rais pekee aliyetoa pongezi kwa Rais Mwai Kibaki kufuatia ushindi tata alioupata baada ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo (ECK) kuongoza kiti hicho katika kipindi kingine cha miaka mitano ijayo. Rasi Museveni pia alikaririwa akisema kuwa yuko tayari kutoa msaada ulinzi kwa Raisi Kibkai endapo atahitaji msaada huo.


Hata hivyo, Uganda imekanusha tuhuma hizo. Mshauri wa Masuala ya Habari wa Raisi Museveni, John Nagenda alisema tuhuma hizo hazina ukweli wowote na kumnwa hakuna askari wa Uganda waliopelekwa nchini Kenya.


Naye Msemaji wa Jeshi la Uganda, Kapteni Paddy Ankunda, alisema tuhuma hizo si za kweli na kwamba zinalengo la kuichafua Serikali ya Museveni na kuongeza kuwa wanajeshi pekee waliopo nchini humo ni wale walio katika mafunzo maalumu katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Karen kilichopo jijini Nairobi.

Wakati hayo yakitokea wasuluhishi kutoka Jumuia mbalimbali za kimataifa ukiwamo Umoja wa Afrika (AU) wamezitaka pande zote zinazovutana zinazoongozwa na Rais Kibaki na Raila Odinga kutoendelea na hatua zozote ziatakazosababisha kuvunjika kwa hali ya amani nchini humo

Katika taarifa yake iliyosomwa jijini Nairobi jana, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon alizitaka pande hizo kuhakikisha kuwa wanapata suluhu ya mgogoro huo ambao mpaka sasa unasadikiwa kusababisha jumla ya watu 500 kupoteza maisha huku zaidi ya Wakenya 300,000 wakikosa mahali pa kuishi kufuatia kubomolewa na kuchomewa makazi yao.

Ki-Moon alizitaka pande hizo kusahau yaliyopita na kuhakikisha amani inapatikana kwa lengo la kuijenga nchi hiyo.

Naye Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja Mataifa, Koffi Annan ambaye awali ilitarajiwa kuwasili nchini Kenya ili kuzikutanisha pande zote zinazovutana alizitaka pande hizo kutotafuta sababu zilizojificha ambazo zitachangiia kutopatikana kwa hali ya amani na kuwataka kushirikiana ili kupatika kwa suluhu.

Naye mshindi wa Tuzo ya Nobel, Askofu Mkuu Desmond Tutu kutoka Afrika Kusini, akizungumza na serikali ya Marekani kwa mara nyingine allisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mazungumzo ya ana kwa ana baina ya raisi Kibaki na Odinga.

Awali Askofu Tutu alifanikiwa kumshawishi Rais Kibaki kukubali kuunda serikali ya mseto na wapinzani wake kwa masharti kwamba kwanza Odinga atambue uwepo wa mamlaka ya serikali, akiimanisha kumtambua kuwa yeye ni Rais halali wa Jamhuri ya Kenya.


Hata hivyo, msimamo wa Rais Kibaki uligonga mwamba kutokana na msimamo wa Odinga ambaye alipendekeza serikali ya mpito ambayo itaanda uchaguzi mpya wa Rais ndani ya miezi mitatu. Tayari Odinga alishatamka wazi kwamba hamtambui Rais Kibaki kwa madai kuwa anaamini kwamba aliiba ushindi.


"Kwa mtazamo wetu ni vizuri kwa Rais Kibaki kukaa pamoja na Odinga bila kuwekeana vikwazo ili kujadili jinsi ya kumaliza mvutano unaoendelea kwa maslahi ya Wakenya, alisisitiza Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshighulikia masuala ya Afrika, Dk Jendayi Frazer.

Kauli hizo kutoka kwa viongozi mbali mbali wa Jumuiya za Kimataifa zilitolewa siku chache baada ya chama cha Orange for Democratic Movement (ODM) cha Odinga kutangaza maandamano makubwa yatakayofanyika kwa siku tatu mfululizo katika miji mbalimbali kuanzia Januari 16.

Annan, ambaye anatarajia kuwasili nchini humo mapema wiki hii kuendeleza sehemu aliyoacha Mwenyekiti wa Afrika, Rais John Kufuor wa Ghana aliitka serikaliya Rais Kibaki na upande wa upinzani kuangalia zaidi wakenya wanataka nini kwa lengo la kuonyesha uongozi bora.

Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa na Mke wa Rais Mtaafu wa Afrika Kusini, Graca Mandela wanatarajiwa kushirikiana na Annan katika mazungumzo hayo ya kutafuta amani nchini Kenya.

Shirika la Habari la Uingereza (Reuters) limesema kuwa Annan atakuwa na muda mwingi wa kukaa nchini Kenya ikilinganisha na Rais Kufuor, ambaye alikaa nchini humo kwa siku mbili pekee. Hata hivyo Rais Kufour alishindwa kuzipatanisha pande hizo mbili.

Awali marasi wanne wastaafu za Afrika walitembelea nchini humo kwa lengo la kuwafariji wananchi wa kenya. Marasi hao ni Rais Mkapa (Tanzania), Joachim Chisano (Msumbiji), Dk Kenneth Kaunda (Zambia) na Sir Ketumile Masire (Botwana) .

Wakati huo huo viongozi wa makanisa wamewataka Rais Kibaki na Odinga kurejesha hali ya amani nchini humo.

Viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali wamepinga vikali kufanyika kwa maandanao makubwa yaliyopangwa kufanywa na chama hca ODM siku ya Jumatano na kutaka viongozi hao kutumia njia ya mazungumzo badala ya kutumia nguvu.

Kiongozi wa Kanisa la Katoliki John Cardinal Njue alisema kufuatia vifo vingi vya wananchi huku wengine wakipoteza mali zao ni vizuri pande hizo kutumia njia ya maziungumzo badala ya nguvu.

"Nchi inaelekea katika hali mbaya kuita tena maandamano mengine wiki hii ni sawa na kuongeza matatizo yatakayosababisha ghasia tena zitakazosababisha kupoteza maisha ya watu wasio na hatia, "alisistiza Njue.

Jijini Nairobi maaskofu 33 wa Kanisa la Anglikana walimtaka Rasi Kibaki na Odinga kuwa tayari kwa mazungumzo yenye lengo la kuleta suluhu.

Naye Ramadhan Semtawa, anaripoti kuwa kufuatia ghasia zinazoendelea nchini Kenya, Baraza la Mawaziri la nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) linatarajiwa kukutana katika mkutano wa dharura kujadili hali ya maafa ya kibinadamu nchini humo.


Mkutano huo wa dharura wa baraza hilo la mawaziri wa nchi wanachama wa EAC, utakuwa chini ya Uenyekiti wa Eriya Kategaya ambaye ni Naibu Waziri Mkuu wa kwanza wa Uganda na Waziri wa Afrika Mashariki wa nchi hiyo.


Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Afrika Mashariki wa Tanzania Dk Ibrahim Msabaha, alisema mkutano huo unatarajiwa kufanyika wakati wowote kutegemea mwenyekiti atakavyopanga kwa kuzingatia ratiba za mawaziri wa kila nchi.


Dk Msabaha alifafanua kwamba, mawaziri wa EAC wanajishughulisha na kuangalia athari za kibinadamu kwani jukumu la usuluhishi liko kwa wakuu wa jumuiya hiyo na wasuluhishi wengine wa kimataifa.


Alisema katika mkutano wao, moja ya jambo wanaloangalia katika athari hizo za kibinadamu ni kuona jinsi ya kufikisha misaada na njia za kuikusanya.


Hata hivyo, alisema mawaziri hao tayari wametoa azimio la kuzitaka pande zote zinazopingana nchini Kenya kukaa katika meza moja ya mazungumzo.


"Baraza la mawaziri litakutana kwa dharura ili kujadili namna ya kupata na kufikisha misaada ya kibinadamu. Sisi tumeangalia zaidi athari za kibinadamu, tunajua juhudu za kusuluhisha zipo chini ya wakuu wetu na jumuiya ya kimataifa," alisema na kuongeza:


"Rais Jakaya Kikwete, Yoweri Museveni wamekuwa wakijitahidi kusuhulisha, pamoja na Askofu Desmond Tutu na mwenyekiti wa AU John Kufuor. Hawa wote tunatambua mchango wao katika usuluhishi".


Dk Msabaha aliongeza kuwa uamuzi huo wa kufanya mkutano huo wa dharura umetokana na kauli moja ya mawaziri wote wa nchi za EAC ambayo ilitolewa Januari 11.


Kuhusu raia wa Kenya kuingia nchini kama wakimbizi, alisema hadi jana hakuna Wakenya waliokuwa wameingia nchini kama wakimbizi.


Dk Msabaha alisema Wakenya wote wanaoingia nchini wamekuwa wakija kwa ndugu na jamaa zao na kuongeza kwamba, hakuna mtu aliyeingia na kuhitaji msaada wa kibidanadamu kutoka Serikali ya Tanzania.


Alisema mpaka wa Tanzania uko wazi na kuongeza kwamba, kazi kubwa iliyopo sasa ni kusaidia kutatua matatizo katika nchi wanachama wa EAC ambazo hazina bandari ambazo awali zilikuwa zikitegemea bidhaa zao kutoka Kenya.


Msabaha alisema kwa sasa kunafanyika taratibu ndani ya serikali ya namna ya kusaidia kupeleka mafuta nchini Uganda.


Matokeo tata ya kura za urasi wa Kenya kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Desemba 27, yameifanya nchi hiyo kuingia katika machafuko makubwa ambayo yamesababisha athari kubwa za kibinadamu na uchumi wa nchi wanachama wa EAC ambazo hazina bandari.
 
Interesting!!

Mimi ninachosikitika katika hayo maandamano, ni watu wa daraja la chini ndio wako mstari wa mbele!

kuna usemi usemao "there is no such dangerous person, like the person with nothing to loose". wako tayari kwa lolote.

Hali inazidi kuwa mbaya baada ya mgomo baridi kuextend kutoka afisa usalama sasa kwenye Jeshi la ulinzi la Kenya ndio maana anaomba usaidizi kutoka Uganda

Inasemekana Jeshi la ulinzi Kenya lina monitor movement ya wanamuseven bila kumhusisha Commander in Chief of all armed forces kujua motives zao, na wako tayari kufanya lolote bila idhini kutoka juu. Napenda kusema Vita ya silaha imeanza its a matter of seconds.

Viongozi wetu natoa wito tatueni haya matatizo before hands repacation zake ni kubwa kuliko tunavyo estimate kwa sasa.
 
Hali inazidi kuwa mbaya baada ya mgomo baridi kuextend kutoka afisa usalama sasa kwenye Jeshi la ulinzi la Kenya ndio maana anaomba usaidizi kutoka Uganda

Inasemekana Jeshi la ulinzi Kenya lina monitor movement ya wanamuseven bila kumhusisha Commander in Chief of all armed forces kujua motives zao, na wako tayari kufanya lolote bila idhini kutoka juu. Napenda kusema Vita ya silaha imeanza its a matter of seconds.

Bowbow hebu toa ufafanuzi kiasi? Ni kweli kuna mgomo baridi kwenye Jeshi la Wananchi wa Kenya? Kama mgomo upo, je, wanataka kutwaa madaraka ama wana lengo gani?

Niliwahi kuuliza, je, Kenya itaingia vitani na Uganda? Niliuliza hilo baada ya kupata tetesi kwamba Kibaki aliomba msaada wa kijeshi kutoka kwa M7. Kilichonishangaza ni kwamba ilikuwaje Kibaki aombe msaada wa kijeshi wakati yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa Kenya? Ina maana jeshi lake haliamini? Au ana mashaka jeshi linaweza kumgeuka?

Kama ni kweli aliomba msaada wa kijeshi, hapo alijichimbia kaburi yeye mwenyewe kwa kuwa ni signal mbaya sana kwa Jeshi la Kenya na hapo wanaweza kumuondoa Ikulu within few minutes!

Nimeshangaa, nahisi US wanaweza kuwa wamenusa kitu kibaya maana tone yao ya kumtaka Kibaki akubali majadiliano imebadilika ghafla. Sasa wanataka serikali ya mpito, marekebisho ya katiba pamoja taratibu za uchaguzi na hapa nadhani target ni ECK. Kwa maneno mengine wana-support madai ya ODM! Tayari Michuki ameisharopoka kwamba US wako pro-ODM na kwamba serikali haiwezi kukubaliana na hayo masharti ya ODM. Ngoja tuone mpaka mwisho wa siku kutakuwa na nini!
 
Kilichotokea au kinachoendelea ni kwamba Jeshi na wanausalama kwa ujumla wamechoshwa na hali ilivyo.

Hawa watu ni sehemu ya jamii ya wakenya na ni wapiga kura pia. So wameona kilichofanyika na wao sio ultimate benefiaciaries wa yanayoendelea zaidi ya kubadilishiwa shifts za kazi baadhi ya ndugu zao kupoteza maisha na mali zao.

So inasemekana sinior staff walikutana wakatoa ultimatum kwa viongozi wa juu wa serikali kumaliza hayo matatizo. Then Kibaki kahisi kwamba wanataka kumfanyizia ikabidi aombe msaada kwa M7 incase of anything.
Na ndio maana maofisa wa polisi wanasema ni uvumi tu ilihali msemaji wa jeshi la wananchi Kenya kakaa kimya, na wameapa kuwatimua bila kuomba ruhusa.

Msiniulize source keep your eyes open.

wito Serikalizetu zichukue hatua mapema iwezekanovyo kutatua hili tatizo naamni siku 9 zijazo tutakuwa tunaongea kitu kingine tofauti
 
kama kweli kuna majeshi yameingia kwenye ardhi ya kenya bila kuwepo taarifa za kimuafaka kutoka kwa mkuu wa majeshi ,maafisa wakuu na amiri jeshi wao....hii inaweza kuincite vita ..wanajeshi wataona hawaaminiki....sidhani kama kuna rais mwenye busara anaweza kuiingilia jamhuri ya kenya kiasi cha kuiingiza majeshi kusaidia upande mmoja,...hii italeta uasi jeshini..!!!
 
The Economist wiki hii linukuu wakuu wanaasema bado kiduchu jeshi la Kenya litapasuka katika msingi wa ukabila.

http://www.economist.com/world/africa/displaystory.cfm?story_id=10498634

0208MA4.jpg


IT SEEMED that Kenya had pulled out of its nosedive into violence earlier this week-until the "big man" complex pulled the country back towards disaster. Now the recalcitrance of its disputed president, Mwai Kibaki, egged on by his bloody-minded backers, threatens to wreck east Africa's most prosperous economy and increases the chance of a drawn-out civil conflict. Ghana's president, John Kufuor, who currently chairs the African Union, is still trying to mediate, but so far in vain. Despite a concerted call for peace by Kenya's leading editors, businessmen and bishops, the prospect of an early compromise looks dim.

Earlier, the opposition leader, Raila Odinga, who claims he was cheated of victory by Mr Kibaki thanks to a false count after the presidential poll on December 27th, told his Orange Democratic Movement supporters to put off planned demonstrations in order to give international mediation a chance to work. Mr Odinga continued to insist that Mr Kibaki was an "illegal" president but his agreement to avoid the possibility of a lethal street clash between the Oranges and security forces was seen as a breakthrough. The next day, however, Mr Kibaki responded with apparent contempt to Mr Odinga's climbdown by unilaterally appointing 17 cabinet ministers. That was also a slap in the face of foreign diplomats who thought they had a deal with Mr Kibaki not to make any appointments until the business of mediation had run its course.

So more riots broke out-and more deaths look certain. At least 500 Kenyans have so far been killed. Thousands more have been wounded by gunfire, hacked by machetes, beaten with sticks, or scorched in fires. Most of the victims have been Kikuyus, from Mr Kibaki's tribe, the country's largest and richest, making up some 22%. The local Red Cross estimates that 200,000 Kenyans have been displaced, nearly all of them for ethnic reasons. The worry is that reprisals by Kikuyu gangs in areas where Kikuyus predominate, particularly against Mr Odinga's fellow Luos, may feed a fresh cycle of bloodshed. "If the reprisals start," says a senior civil servant, "I fear you could see the armed forces breaking into tribal factions."


Mr Kibaki's choice of cabinet ministers does not suggest he is reaching out to those who opposed him. In the parliamentary poll, held at the same time as the presidential one, Kenyans sent a clear message of disgust with corruption and cronyism. Oranges won 95 of the 210 contested seats, more than twice as many as Mr Kibaki's Party of National Unity; half of Mr Kibaki's cabinet lost their seats. Yet several of his new ministers are widely regarded as some of the most venal of the old guard; several have been threatened with travel bans to the European Union, including Britain, because of corruption allegations.

Among those thought to be encouraging Mr Kibaki to give no ground are John Michuki, who previously ran internal security and is now in charge of roads, and George Saitoti, who goes from education to handle internal security. Mr Michuki was involved in attempts during Mr Kibaki's first term to use foreign mercenaries to stop local media from publishing some stories to do with organised crime. This pair's prominence suggests that Mr Kibaki is ready to use repression to stay in power.

Mr Kibaki has also failed to break with his discredited predecessor, Daniel arap Moi, three of whose sons lost their seats in parliament: Mr Kibaki has put several of Mr Moi's favourites into the cabinet, including Uhuru Kenyatta, a son of Kenya's founding president. He has also named Kalonzo Musyoka, a Kamba, who came a distant third in the presidential race, as vice-president, in the hope of winning his party's much-needed votes in parliament.

The Daily Nation, Kenya's biggest newspaper, reckons that it has been the country's darkest period since independence in 1963. The violence has not ceased since the election result. The tension has been worsened by incendiary text messages, such as one that falsely said a busload of Luo women and children had been blown up by Kikuyus in western Kenya.

The security forces can barely cope without resorting to violence. There were too few to contain opposition protesters peacefully in Nairobi in the days after the poll-but enough to gun them down. "No Raila, no peace," went the standard chant that has landed a number of Orange supporters in prison. Protesters near the smart Yaya shopping mall, a mile or so from central Nairobi, seemed poised to loot the building. A few started throwing stones at its windows, while others pulled petrol bombs out of sisal sacks. Hot-heads spoke of taking their fight against Mr Kibaki to the bush in a war of liberation. "Have you ever seen someone cut up, the legs here, the head over there?" asked a youth brandishing a rusty spanner. "That's what we'll do to the Kikuyus." Just as gunfire threatened to break out, William Ruto, an Orange leader, persuaded the mob to back down.



The violence spreads
For days, Nairobi's slums were sealed off by security forces, causing widespread hunger. In Kibera, on the city's south side, what little food there was reached prices the poor could not possibly afford. Children collapsed under barrages of tear-gas. There was not enough water to wash their eyes. Corpses lay unclaimed in the fetid dust, some shot, others slashed. Ethnic cleansing went on despite the siege. Thousands of Kikuyus fled their tiny shacks, escaping through the nearby Ngong forest with dirty bundles of meagre possessions to take refuge in Nairobi's showground beyond. Kikuyus trying to enter Kibera were dragged out and beaten up by Luos.

The violence was, if anything, worse upcountry, where gangs of young men from the Kalenjin group turned on their Kikuyu neighbours in the Rift Valley. Many of the deaths there, including the burning to death of Kikuyus in a church, occurred in and around the town of Eldoret, whose Kikuyus fled, taking buses or lorries south to Nakuru, under government protection.

The conspicuously quietest bit of the country has been the Kikuyu highlands stretching up north of Nairobi to the slopes of Mount Kenya. About 97% of Central Province's voters were officially said to have plumped for Mr Kibaki. In mainly Kikuyu towns such as Thika, Luos working in government offices have fled. "We are not sure if they will come back," says the district commissioner. "The situation is worst in the coffee estates and isolated farms. We can't offer protection there."

Poorer Luos still working in Thika live harmoniously with other tribes in makeshift settlements on the edge of the town. "We don't say anything too loud," says a young Luo. "The problem is the Kikuyus are too arrogant. They feel they have a right to rule." Unsurprisingly, the Kikuyu view is different. "We're civilised and they are not," says a Kikuyu mini-bus driver in the market-place, to applause from his friends.

So far the instability has cost the country $1 billion, says the finance ministry. The cost of borrowing abroad is likely to rise, the overvalued Kenyan shilling will fall, tourism has already been badly hit and foreign aid may be cut back. Planned privatisations will get greater scrutiny; some may falter. There may not be enough money to keep Mr Kibaki's promise of free secondary education for all. But breaking it would sorely undermine him.

Kenya's neighbours are being hurt too. Several, such as south Sudan and Uganda are landlocked, so rely on Kenya's roads and its port of Mombasa for their trade to the outside world. Uganda is particularly jittery. Its president, Yoweri Museveni, wants Kenyan troops to protect oil en route to the Ugandan border and says Uganda must build its own oil terminal to lessen its dependency on Mombasa. While Kenya's big men refuse to compromise, the country's reputation as a beacon of stability in a sea of regional turbulence is in tatters.
 
The Economist wiki hii linukuu wakuu wanaasema bado kiduchu jeshi la Kenya litapasuka katika msingi wa ukabila.QUOTE]

Kama hii itatokea..Kenya ihesabu kuwa kwenye janga kubwa....!! Kama Jeshi halitaweza kuwa neutral then who will?
 
kama kweli kuna majeshi yameingia kwenye ardhi ya kenya bila kuwepo taarifa za kimuafaka kutoka kwa mkuu wa majeshi ,maafisa wakuu na amiri jeshi wao....hii inaweza kuincite vita ..wanajeshi wataona hawaaminiki....sidhani kama kuna rais mwenye busara anaweza kuiingilia jamhuri ya kenya kiasi cha kuiingiza majeshi kusaidia upande mmoja,...hii italeta uasi jeshini..!!!

..phil,

..mbona burasa za M7 zina kikomo!ushahidi mkubwa ni pale alipobwatuka baada ya mwendawazimu kivuitu kubwabwaja!

..anafikiri anasaidia,kumbe ndio anazidi kulikoroga!hii inaweza kuwa mwanzo wa mwisho wake!
 
The worry is that reprisals by Kikuyu gangs in areas where Kikuyus predominate, particularly against Mr Odinga's fellow Luos, may feed a fresh cycle of bloodshed. “If the reprisals start,” says a senior civil servant, “I fear you could see the armed forces breaking into tribal factions.”

Hii ndio sitaki kuamini kuwa inaweza kutokea!!!
 
Kilichotokea au kinachoendelea ni kwamba Jeshi na wanausalama kwa ujumla wamechoshwa na hali ilivyo.

..agree!

Hawa watu ni sehemu ya jamii ya wakenya na ni wapiga kura pia. So wameona kilichofanyika na wao sio ultimate benefiaciaries wa yanayoendelea zaidi ya kubadilishiwa shifts za kazi baadhi ya ndugu zao kupoteza maisha na mali zao.

..informed insight!

So inasemekana senior staff walikutana wakatoa ultimatum kwa viongozi wa juu wa serikali kumaliza hayo matatizo. Then Kibaki kahisi kwamba wanataka kumfanyizia ikabidi aombe msaada kwa M7 incase of anything.

..kama kweli aliomba[sitaki kuamini,kwakua itakuwa balaa]basi anaonyesha ujinga anaojaziwa na wapambe kama ule upuuzi uliokwishafanyika!

ndio maana maofisa wa polisi wanasema ni uvumi tu ilihali msemaji wa jeshi la wananchi Kenya kakaa kimya, na wameapa kuwatimua bila kuomba ruhusa.

..moja ya vyombo professional kenya ni jeshi,kama lina viongozi wenye akili kwasasa,lazima watatunza heshima yao!

..huyu hussein ali ni sawa na msomali mwenzie aliyewekwa defence. wanatumiwa tu!



wito Serikalizetu zichukue hatua mapema iwezekanovyo kutatua hili tatizo naamni siku 9 zijazo tutakuwa tunaongea kitu kingine tofauti

..tuombee mema tu,maana,dalili ya mvua mawingu!

..na hivi jamaa wamepata ushindi bungeni,hiyo euphoria itajaza confidence ya kudai zaidi. nisiseme sana,ngoja mvua inyeshe kesho tuone!
 
Back
Top Bottom