Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,084
- 1,259
Naona povu limeanza kukutoka. Hujui kuwa Tanzania ni sovereign state!?
Wewe unaongea saaana tena unaongea kwa mihemko. Mimi nakupa taarifa za uhakika. Kati ya Tanzania na Kenya unaweza ukaleta ushahidi kuonesha kenya ni more democratic than Tanzania!?
Nyie uchaguzi wa Rais mmeanza mwaka 2002 tangu nchi yenu ipate uhuru.
Tanzania imekuwa na utaratibu hio miaka na miaka.
Nchi yenu inaongozwa na elites wale wale na familia zao. Na most of them ni Kikuyus.
Mfano: Jommo kenyatta kikuyu
Mwai kibaki kikuyu
Uhuru kenyata kikuyu.
Democrasia ipi waisema?
Ulitaka awe mhadzabe ama msukuma?.....