Jeshi la Kenya KDF lachukua usukani, hakuna kuingia humu bila wao kukukagua Korona

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,403
Iwe mpakani, bandarini au kwenye viwanja vyote vya ndege, lazima upitie kwenye mikono ya jeshi letu, safi sana hiki kirusi kinaleta kiama dunia hii, ni muda wa ndugu kwa ndugu kupoteana, baba kwa mwanaye kukimbiana, majirani kuonana wabaya, siku inakaribia utatamani urudi kwenye tumbo la mama yako, haya yalitabiriwa kwenye vitabu vya kidini.

Tulisubiri vita vya tatu vya duni tukidhani vitakua vya kupigana mabomu, lakini kiaina naona kama vinakuja kivingne, Armageddon, muitazame movie ya World War Z.

Majirani endeleeni kucheka na nyani muone kama hamtavuna mabua...vihela vya watalii visiwapofushe kwa umaskini.

------------------------

UPDATE: 3:07

The Kenya Defence Forces officers will now take charge of all entry points in the country where they will monitor the screening of passengers getting into the country from other nations.

The officers will, therefore, monitor all airports, maritime ports and every border point in the country.

The communication was made by the Head of Public Service Joseph Kinyua who termed the move as a measure taken to prevent the spread of Coronavirus disease.

Flights From China Suspended by High Court
 
Naona washamba wanabeza na kucheka cheka tu, hawana ufahamu wowote wa kinachoendelea duniani. Haya mambo ya corona hayataki mzaka. Itabidi sote tuige China, walitumia vikosi vyao vya kijeshi na ndio wakafanikiwa kudhibiti maambukizi ya virusi vilipochipuka kwa mara ya kwanza ndani ya mji wa Wuhan.

ChinaCorona_AP.jpg
 
Naona washamba wanabeza na kucheka cheka tu, hawana ufahamu wowote wa kinachoendelea duniani. Haya mambo ya corona hayataki mzaka. Itabidi sote tuige China, walitumia vikosi vyao vya kijeshi na ndio wakafanikiwa kudhibiti maambukizi ya virusi vilipochipuka kwa mara ya kwanza ndani ya mji wa Wuhan.
ChinaCorona_AP.jpg
Jeshi lako linaweledi kama china?

Wenzetu wataalam wengi wapo jeshini wewe jeshi lako linajua kushika SMG, MK47 na mizinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema nchi za kia frika zikajiandaa kwa kuwa na namna za kitaalam kugundua walio athirika ili kuepusha wengine. SILAHA za kidf unfortunatelly haziwezi kusaidia jambo hili. MUATHIRIKA SIO MUHALIFU.ANAHITAJI TIBA.
 
Kwani nyie mlipokwenda kushughulikia korosho kwa kutumia JWTZ mliambiwa wakulima wana bunduki?
Haya mambo ni ya usalama wa taifa, hiki kitu sio cha kucheka nacho tena.
Nenda pale Namanga ujaribu kuingia humu kihivi hivi uone mziki wake.
Pigeni marufuku pia mikusanyiko ya BBI.
 
Kukagua corona kwa kutumia gun thermometer Ni kujidanganya tu,,bila kutumia testing kit,,thermometer siyo reliable
 
Back
Top Bottom