Jeshi kwa form 6 leavers

kat.ph

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,222
1,675
Salaam!!
Naomba kujulishwa kama kuna ulazima wowote wa form 6 waliomaliza mwaka huu kwenda jeshini kama walivyopangiwa. Je, ni lazima sana au mwanafunzi anaweza kuamua kutokwenda?? Na kama asipoenda huko jeshini, je atapata effect gani kutokana na hilo??
Ahsanteni
 
Ni lazima kwenda!Usipoenda utakuwa umevunja sheria na najua unajua mjunjaji wa sheria anastahili nini
 
ni lazima. labda kuwe na sababu za kiafya zitakazomfanya ashindwe kwenda jeshini.
 
Ni lazima kwenda!Usipoenda utakuwa umevunja sheria na najua unajua mjunjaji wa sheria anastahili nini

Itamletea shida katika ajira ama? Coz anatakiwa aende chuo abroad and kapangiwa tayari pa kuattend mafunzo ya jeshi.
 
Nadhani anaweza asilambe ajira maana itafika muda serikali sikivu ya jembe na ka nyundo itakuwa inaomba vyeti vya jkt kama supporting document ili mtu aajiriwe serikalini. Ni bora akaenda kuepusha mshkeli kwa mhusika.
 
Hapana kitu kama hicho watu wanaacha hilo jeshi na kwenda vyuo tena vya hapa hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom