Elections 2010 Jeshi kumuaga rasmi JK

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke.

Wanafanya hivyo ili asiaibike kutoka Ikulu bila kuagwa.

Mwenye habari zaidi atujuze.
 
Wanafanya mazoezi ya siku yake ya kuapishwa kuiongoza tena Tanzania kwa kipindi cha pili 2010-2015....
Sawa Jafar?
Unataka kadi?
 
Hata polisi wamebaini kuwa hawataweza kusaidia chochote katika kumrudisha IKULU ya magogoni ndo maana wameona wamuage akapumzike ''IKULU'' ya familia yake Msata.tupa kule.
 
Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke.

Wanafanya hivyo ili asiaibike kutoka Ikulu bila kuagwa.

Mwenye habari zaidi atujuze.

JWTZ kwenda viwanja vya chuo cha Polisi???? inaelekea wewe unawatania JWTZ
 
Hawa Wajeda mie na wasiwasi nao sana wana JF,

Kwanza kauli zao ni Tata kabisa tokea siku ile walipotangaza kuwa watu wayakubali matokeo. Na kama hamto yakubali na kushinikiza kuwa CCM imeshindwa basi wao ndio wataitawala nchi hilo ndio lengo lao. hiyo tungo tata la JWTZ nime kaaaaa kwa umakini na kuitafakari sana na kujua that is a plan B endapo CCM itapigwa mtama JWTZ will take over by any mean.
 
Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke.

Wanafanya hivyo ili asiaibike kutoka Ikulu bila kuagwa.

Mwenye habari zaidi atujuze.

Anafanya mazoezi ya kuapishwa baada ya kumaliza kazi hapo 31 oct na kupata ushindi wa kishindo wa per cent zaidi ya 80.
 
Back
Top Bottom