Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 842
- 2,467
Kongamano lililofanywa na BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Leo hii katika ukumbi wa Mlimani City halijapata kuonekana nchini sio kwa wingi wake bali VIBE na msisimko wake wa kweli toka kwa wahudhuriaji.
Wamekuja kwa hiari, kwa gharama zao, mioyo yenye furaha na heshima pamoja na kutikuwa na woga wowote na tabia ya watawala kuonea yeyote asiye CCM akiwa na furaha.
Jee Wanawake hawa wakirudi watokako na kueneza ujumbe wa Chadema wa #NohateNofear kwa Wanawake wote nchini na kuwafahamisha kiini cha matatizo yao ni CCM na huku uongozi ukipambana kuleta Tumehuru ya uchaguzi hadi iwepo CCM itapona?
Kumbe kifo cha CCM kimeshikiliwa na Wanawake?
Sent using Jamii Forums mobile app