Jeshi Hili la Wanawake Chadema Laweza Kufanya Mabadiliko Makubwa 2020

Watanzania wanataka wanataka Demokrasia wasipoiona wasipoipata ndani ya Chadema wataipata nje ya Chadema.

Watanzania wanaangushwa na viongozi wa vyama vya upinzani hasa Mbowe.

Wapo tayari lakini Mbowe hana jipya zaidi ya kulalamika kuwa hapewe nafasi ya kuandamana lakini anashindwa kuoanisha maendeleo na maendeleo vinaendaje sambamba ?
Kwa nini watu waandamane na kufanya mikutano kila siku badala ya kufanya kazi?
Kwa nini kuna umuhimu wa Tume huru kwa CCM na Dola yake?
Nini madhara ya kukosa tume huru?
Nani ataipenda Chadema chama kinachoongozwa na Mbowe asiye na maono? Hivi ni chama gani kinachokataa watu toka vyama vingine na kuwafanyia figisu waliopo ili wakimbie wabaki wachache wasioijua dola wala namna ya kuongoza dola?

Nani ataiamini Chadema inatoongozwa na DJ kihuni huni badala ya kuwatumia watu waliokomaa kisiasa wanaotamani kujiunga na Chadema yeye anawaza kuwafanyia figisu wale wote wenye mawazo tofauti na uongozi wake?

Uongozi wa Kitaifa wa Chadema umepwaya sana.
Siasa za awamu hii ni nyepesi sana mana CCM ya Bshir ni dhaifu kuliko ile ya Kanali wa Jeshi A.Kinana na Luten wa Jeshi Joseph Makamba. Ni CCM Inayojificha nyuma ya Majeshi wakati wanaoiongoza ni raia kamili.

Chadema ingepaswa kuongozwa na Kamanda Heche na Katibu mkuu awe Kamanda Juma Mwalimu na Mwenezi awe Kamanda Sugu.
Msemaji awe ni Kamanda Mch. Mchungaji Msigwa.
Idara ya Fedha ishikiliwe na Kamanda Komu .

Mbowe angetola na mambo yake ya Ukabila na Chama kingetakasika na kuwa kimbilio la kila mtanzania Msomi na mwenye Maono na nia ya kuitoa CCM kwa gharama ya wenye nchi wenyewe bila kujali makabila yetu.
Hatuwezi kukiunga mkono chama cha Mbowe na ukoo wake uliojivika koti la ukabila wa Hai.

Nawapongeza wakina mama wa BAWACHA kwani wameonyesha kuwa Roho ya Chadema sio Mbowe na fedha yake kama tunavyoaminishwa Bali ni wanyonge wanaoipigania Demokrasia kwa gharama zao na nafsi yao juhudi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu na wewe porojo zako hapa .Ccm ikifanya vizuri tutasifia na chadema Leo imefanya vizuri lazima tuisifie,Unakaa kumnanga mwanaume mwenzako Mbowe kafanya nini?Leta hoja hapa watu waipime na kujadili yenye maana kwa nini mnapenda sana kujitoa ufahamu na kuhishiwa mahalifa kwa kufuata mkumbo,jiamini na jikubali kwamba wewe ni nani na bila ccm au chadema au bila chama maisha yako bado yanabaki kama maisha yako sio eti mpaka mtu anasafiri mkoa mpaka mkoa kuvuruga mikutano ya watu na kama amepewa pesa nyingi hata laki tano haifiki.
Binadamu unanunuliwa kama mfugo mnadani alafu izo pesa unapelekea mkeo na wanao ndo maana tunaandamwa na mikosi na laana very shame binafsi heli nife na umaskini siwezi jaribu ujinga huu mbele ya mungu na wazazi wangu walionileta duniani
 
Hacha porojo zako hapa
 
Hiyo propaganda ya zamani.

Tarime Mjini na Vijijini - Chadema.

Mbeya Mjini - Chadema.

Kawe

Ubungo.

Hadi kule Serengeti alikuwa wa CDM, kabla hamjamnunua.

Huko kote wachaga!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu na wewe porojo zako hapa .Ccm ikifanya vizuri tutasifia na chadema Leo imefanya vizuri lazima tuisifie,Unakaa kumnanga mwanaume mwenzako Mbowe kafanya nini?Leta hoja hapa watu waipime na kujadili yenye maana kwa nini mnapenda sana kujitoa ufahamu na kuhishiwa mahalifa kwa kufuata mkumbo,jiamini na jikubali kwamba wewe ni nani na bila ccm au chadema au bila chama maisha yako bado yanabaki kama maisha yako sio eti mpaka mtu anasafiri mkoa mpaka mkoa kuvuruga mikutano ya watu na kama amepewa pesa nyingi hata laki tano haifiki.
Binadamu unanunuliwa kama mfugo mnadani alafu izo pesa unapelekea mkeo na wanao ndo maana tunaandamwa na mikosi na laana very shame binafsi heli nife na umaskini siwezi jaribu ujinga huu mbele ya mungu na wazazi wangu walionileta duniani
Mbaya ni Mbowe anayeua Demokrasia ndani ya Chama cha Demokrasia .
Hivi hamuoni hilo tatizo??
Hakuna haki inayopatikana kirahisi toka kwa madhalimu lakini hakuna mtu atakayejitoa kupambana naadhalimu kwa sababu ya kuunga mkono kundi lingine linalotaka kuchukua nafasi ya madhalimu ili nalo litende kwa udhalimu.

Kumuunga mkono Mbowe ni kuandaa serikali mbovu na ya kidikteta kuliko CCM.

Kama kuna mtu katili na asiyependa kukosolewa ni Mbowe .
Wengine wote wamemuiga Mbowe. Hata fukuza fukuza haikuwepo CCM wamemuiga Mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zinavyozidi kusonga wanaume nawatoa kwenye imani, Mara nyingi huwa najiuliza mbona wanawake hawayumbishwi na uungaji mkono juhudi? na ukiangalia kwenye mikutano/makongamano huwa wanajitokeza kwa wingi sana huku wamevalia sare za chama bila woga wowote? na huwa wanatembea kwa kulinga na madaha bila woga wowote?inashangaza, inafurahisha na kuleta matumaini,ina maana wanawake wametuzidi ujasili na maamuzi wanaume?ebu ngoja kwanza
Mkuu, siku hizi kunawanaume wanajiuza
 
Kongamano lililofanywa na BAWACHA (Baraza la Wanawake Chadema) Leo hii katika ukumbi wa Mlimani City halijapata kuonekana nchini sio kwa wingi wake bali VIBE na msisimko wake wa kweli toka kwa wahudhuriaji.
Wamekuja kwa hiari, kwa gharama zao, mioyo yenye furaha na heshima pamoja na kutikuwa na woga wowote na tabia ya watawala kuonea yeyote asiye CCM akiwa na furaha.
Jee Wanawake hawa wakirudi watokako na kueneza ujumbe wa Chadema wa #NohateNofear kwa Wanawake wote nchini na kuwafahamisha kiini cha matatizo yao ni CCM na huku uongozi ukipambana kuleta Tumehuru ya uchaguzi hadi iwepo CCM itapona?
Kumbe kifo cha CCM kimeshikiliwa na Wanawake?
View attachment 1380918

Sent using Jamii Forums mobile app
Si nyie mmetangaza kabisa kua Kuna wanachama wanawake Zaid ya 500 wanakuja kwenye mkutano vip mnaanza kujikosha et wamekuja kwa nauli zao wakat wote mabas yamewashusha tukiona live mkutano umepoa mnalaum vyombo vya habar vya hom kwamba havikurusha BBC na voa hazinakua na taarifa au ndio kupoteza mvuto Yan chama hakina hata Channel YouTube miaka yote hii

..TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi za wana-ccm, wana-cdm, wana-act, na wasio na vyama, walitakiwa warushe mkutano huo. Kurusha matangazo ya ccm kila siku siyo HAKI.
 
Ila wasilojuwa ni kuwa hii sifa wanayoitangaza ya ongezeko la watumia simu za mkononi wajue ndivyo ongezeko la wapata habari linavyokuwa na kutotegemea sana TV na redio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi za wana-ccm, wana-cdm, wana-act, na wasio na vyama, walitakiwa warushe mkutano huo. Kurusha matangazo ya ccm kila siku siyo HAKI.
Ccm chama dola boss kwenye mkutano wa ccm Kuna Rais Kuna mawazir Sasa nyie mnataka mrushwe live awaone Nan porojo zenu nyie wenyewe mmeshindwa hata kua live insta yani bado pia mlikua hamna bado hampojawa tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serkali hii imeshindwa kuwajali wanawake,maana hata vile vikundi vya vikoba vinakufa.
Mikopo midogo ndio kabisa hali inawawia ngumu.
Vile vibenk vyao vinafungwa.

Unakutana na mwanamke kijana lakini kama mzee kwasababu ya mawazo.
Kwana mwanamke mwenye kukumbana na hali kama hii hawezi kuipenda ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom