Jerry Slaa: Meya wa mfano Afrika nzima

Wewe ni jerry umebadili ID au mpambe wake?
Mimi sioni cha maana alichokifanya huyu dogo
Zaidi ya wizi na ilala kukosa mwelekeo hivi jerry unarudi lini kwenye kipindi cha mkasi?ukakate kubwa mkuu ni muda sasa zitakuwa ndefu sasa hivi
 
Hivi zile barabara zenye mahandaki zinazopita mitaa ya Kariakoo sio sehemu ya Ilala? Yale Ma.vi yanayotiririka kwenye chemba nyingi Kariakoo Ni mfano wa kuigwa huko kwenu. Mitakataka inayonuka karibu kila kona ya Ilala nayo ni mfano wa kuigwa? Mleta mada kama sio bwabwa basi umevurugwa..
 
Rushwa imezidi
Uchafu umezidi
Foleni zimezidi
Mashimo yamezidi sanaaa
Takataka hazizolewi
Wazoa taka makampuni ya wapambe
Sioni cha maana tangu kuchaguliwa kwake na wenzake
 
Huyu ni mwanasiasa kijana na msomi pia ni meya wa manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Aliyeyofanya Ilala yanaonekana kwa macho na wala huitaji kuandika hapa.

Pichani akitoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi. BRAVO Mstahiki Meya.

attachment.php

mdau,uwaambie wasioishi dar es salaam,tunaoish dar es salaam tunajionea upuuz,dar es salaam including Manispaa ya Ilala ni chafu mno,huyo Jerry kule tweeter anakiri kuwa kazi imemshinda,wewe unakuja kumsifia hapa si unafki huo,
nakupa kaz ndogo sana leo kama utapata nafas zungukia masoko yafuatayo
1.soko la Ilala
2.Soko la Bugurun
3.Soko la Kigogo
angalia hali ya uchafu pale,last week alisema tatizo ni mvua,ila uchafu wa dsm hauna mvua wala kiangazi
then nakupa kazi nenda mitaa ya kariakoo,hesabu idadi ya chemba zinazotoa maji machafu kiholela then muulize Jerry atakwambia kazi ya dawasco si yake,
Njoo kwenye ubovu wa barabara,pita barabara ya uhuru hasa maeneo ya mtaa wa Congo,pale hakuna mvua,hakuna kiangazi maji yametapakaa,wakat wa mvua ukiwa na Carina hupiti pale,ukimuuliza Jerry atakwambia tatizo sheria,nenda huko huko kwenye kata yake na maeno alikotokea,anzia ukonga mpaka Gongo la Mboto uchafu unamuandama,
sasa njoo kwenye usimamizi wa ujenz,hayo maghorofa yanayojengwa bila kiwango yeye kama kiranja wa manispaa anasimamia vip yasijengwe???,
Jerry alikua na ham na umeya,ila sasa mambo yamemshinda,nae amekua kama mameya wenzie wa hapa dsm,yaan wa Temeke na Kino,sasa wale ni wazee,huyu kijana mwenzetu ana nini???,
 
Chini ya meya wetu baadhi ya street zimefungwa na mashimo na madumbwi.
Hii ni ali hassan mwinyi road posta ni double road lakini upande mmoja haupitiki hivyo kufanya watu kutumia upande mmoja na kusababisha foleni ya kijinga
 

Attachments

  • 1402039362403.jpg
    1402039362403.jpg
    46.9 KB · Views: 86
Hadi leo mnafikiria kufanya usafi jiji lenye watu zaidi ya 5million kwa mifagio na matoroli you jokin!
 
Jamani hii ndiyo manispaa anayoiongoza Jerry Silaa

IMG_20140530_105500.jpg

IMG_20140530_110103.jpg

Mitaa ya Kariakoo sokoni hiyo.
 
Back
Top Bottom