Jerry Slaa ni mara mia moja angekuwa Speaker Wa Bunge, kuliko hicho kijeba cha kutoka Kongwa kinachokaa na kung'aang'aa sharubu tu.

Dogo anajitambua sana, ila CCM wataanza kumwita msaliti na sio mzalendo kwasababu anataka wabunge wakatwe kodi.
Mkuu usimpe sifa sana mbona hakuyasema bungeni? Hawa wabunge wakiingia mjengoni inaelekea pale kuna mtambo uwa reasoning inabaki nje, wakitoka inarudi. AU huenda vile viti uwa vinawafanya wasahau kila kitu itabidi tutazame upya suala la kwuawekea mabench
 
Mkuu usimpe sifa sana mbona hakuyasema bungeni? Hawa wabunge wakiingia mjengoni inaelekea pale kuna mtambo uwa reasoning inabadi nje, wakitoka inarudi. AU huenda vile viti uwa vinawafanya wasahau kila kitu itabidi tutazame upya suala la kwuawekea mabench
Hahahahaaaaaaukuwahisiisikiaaa.mmoja alipoanbiwa hikikiti alikaliaa Prof majimafupi Akaomba Kama anawezakubadilisha kwa GHARAMA YAKE.....kulee HESHIMA mkuu
 
Hahahahaaaaaaukuwahisiisikiaaa.mmoja alipoanbiwa hikikiti alikaliaa Prof majimafupi Akaomba Kama anawezakubadilisha kwa GHARAMA YAKE.....kulee HESHIMA mkuu
Mkuu hakuwa anataka kumrithi maji mafupi? hahahaha
 
Same person alikua anasema mwendazake aongezewe muda wa kuongoza.

Ni vigumu sana kuwaamini politicians.
 
Anaweza kuwambia wananchi kila mwezi atatoa Tsh 2ml zijengee vyoo kwenye mambo ya jamii.Hiyo sehemu ya mshahara wake itaonyesha kwa vitendo kuliko kuropoka akiwa jukwani huku akiwa mjengoni hata kujenga hoja hana
 
Kwahiooo beii labda niwee mwekahazina ntakubaliana nayoooo mkuuu ..HII tutachanga wananchi
Hatuna haja ya kuchangia, boss. Hii serikali ni tajiri, sisi ni dona kantri. Tunajenga sgr, stiglazi goji, mabalabala kila mkoa kwa pesa zetu wenyewe.
 
Hivi kigezo gani kilitumika ili kusema wabunge wasilipe kodi?
This is very unfair kwa wananchi wengine. Wote tulipe kodi bila kubagua.
Walijiweka kwenye kundi la kutawala siyo kutuwakilisha, ifike wakati sasa sisi kama waajiri wao tuwapangie nini walipwe siyo wao wajipangie, ipo siku watakomba hazina yote na kumtishia Rais
 
Kila mfanyakazi awe muajiriwa katika Taasisi yeyote hapa Tanzania ni lazima akatwe kodi kwa maendeleo ya Taifa. Naomba kuelemishwa, Je Waheshimiwa pia wanakatwa kodi kwenye mishahara yao?.
 
Hili ndio kosa la jerry Slaa kuitwa kamati maadili au anamsindikiza Gwaji tu zuga hizi ?
 
Back
Top Bottom