Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi...
Maneno haya alitakiwa ayaseme Spika wa Bunge Muheshimiwa Job Ngugai na sio Mbunge kama Jerry Slaa. Kifupi ni kwamba nafasi ya hii kauli ni ya Ndugai.

Spika anatakiwa ajitathimini kwa kukwepa kodi.
 
DUNIA imezoeaa mpaka mtu afe ndiio akumbukwe kwa MAZURI
Kwa Mara ya kwanza

WATANZANIA tutamkumbuka kija a WETU MH J.SILAA Kama mzalendo mwenye UCHUNGU na nchi yake kwa kuomba WABUNGE wote wakatwe Kodi KIla malipo wanayopokea

Uzalendoo Kama huu ulionekana enzi za My RAIS BABU YETU J.K.NYERERE

NATAMANI KUWEPO BUNGENI NA MIJADALA ALIIOULIZA BW NDUNGAI

WABUNGE KAMA WABUNGE WANA MAWAZO GANI MBADALA YA TOZO HII KANDAMIZI KWA WANANCHII...

MAOMBI YANGU KWA MUNGU WAB WAANZE KUFUNGUKA NA KUWA WAZALENDO KWA NCHI YAO NA IKIWEZEKANA HATA ZILE POSHO ZIPUNGUZWE NAYO INAWEZA KUWA MBADALA WA KUONGEZAA KIPATO SERIKALINI
 
Wanatakiwa kulipa malimbikizo ya kodi kwa mishahara yoote waliyolipwa bila kukatwa kodi. Kwa sababu haikuwa halali tangu mwanzo. Na Ili apatatiwe jibu sahihi la swali lake, Spika Ndugai apigiwe hesabu alipe malimbikizo yoote tangu ameanza Ubunge.

CAG aandae hesabu kamili na awasilishe kwa wananchi ili wananchi tuone jumla ambayo Taifa limedhulumiwa na utaratibu huu wa kutokulipa kodi.
 
Now we are talking ......... We finally, found someone who has the courage to speak it out!!

Sasa akaongelee hili swala bungeni ..... Ila nafikiri mpaka sasa atakuwa amepigiwa simu na akina Ndugai kumpiga mkwara!!
Hata up upinzani wakiwa bungeni hawajawahi kukataa posho na hawajawahi kutamka kuhusu kodi
 
Angalau huyu kaongea kitu kizuri. Waongezeke wabunge kama hawa wanaofikiria vizuri. Sio sabufa ana bwatuka tuu pwaa pwaaa
Upinza kwa miaka 10 waliyokaa bingeni hawakuwahi kulizungumazia hili , iwe posho au mishahada wote walikuwa wanaungana hapa si ccm si cdm
 
Hakuna uzalendo,alikuwepo bungeni kwanini aliunga mkono bajeti huku akijua inaumiza wananchi.

Mzalendo atakayejitokeza kupeleka hoja za matumizi ya magari ya kifahari huku wananchi hawana maji.

Fikiria gari moja 250m nakuendelea.

Maji miaka nenda rudi.

Mungu alitupa vyanzo vya maji bure,tunashindwa nini.

Mjapani mmoja alitushangaa sana kuona sisi nchi masikini tunatumia magari yakifahari akidai hata wao wanatengeneza lakini ni matajiri wanaotumia.
 
DUNIA imezoeaa mpaka mtu afe ndiio akumbukwe kwa MAZURI
Kwa Mara ya kwanza

WATANZANIA tutamkumbuka kija a WETU MH J.SILAA Kama mzalendo mwenye UCHUNGU na nchi yake kwa kuomba WABUNGE wote wakatwe Kodi KIla malipo wanayopokea...
Ondoeni upumbavu wenu. Kitu kidogo tu mnasifu kupitiliza. Ujinga mtupu.
 
Nilikadharau haka kakijana,but now naanza kukaelewa.

Wabunge si tu wakatwe kodi but also wapunguziwe mshahara na posho.

Mshahara uwe milioni 4. badala ya Milioni 22.

Posho iwe laki 1 badala ya laki 3 kwa siku.

Unamkataje mwalimu unamwacha mbunge?
 
#NAWASALIMUWOTE KWA HESHIMA YA #JAMHURI YA MUUNGANO WA WA TANZANIA


YALE MAZURI MTU ANAFANYEA AYAONE MEMA ALIOFANYIWA AKIWA HAI

KWA MANENO YA KIJANA WA UKONGA MH JERRY NAPENDEKEZA MH NDUNGAI MUANGALIE HILI

SANAMU YAKE IJENGWE PALE MLANGONI KABISA WANAPOINGILIA WABUNGE

HII ITAFANYA KILA MB ANAECHAGULIWA AKIIONA ANAWAZA UZALENDO KWA WANANCHI

KAMA N GHARAMA TUCHA NGIE WANANCHI SANAMU YAKE IWE UKUMBUSHO WA UONGOZI BORA ULIOTUKUKA

#KAZIIIIENDELEEEEEEEEEEEEEEE
 
Jerry Slaa ni mara mia moja angekuwa Speaker Wa Bunge, kuliko hicho kijeba cha kutoka Kongwa kinachokaa na kung'aang'aa sharubu tu.

Dogo anajitambua sana, ila CCM wataanza kumwita msaliti na sio mzalendo kwasababu anataka wabunge wakatwe kodi.

CCM ili wakuone mzalendo basi uvae tie yenye rangi za bendera ya Tanzania na uwe unaunga mkono hoja za kuwakamua wananchi kisawasawa, hata kama wewe ni kaka jambazi.
 
Back
Top Bottom