Brabra! Huyo Kikwete mzururaji angewezaje kujenga daraja hilo!SERIKALI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA
September 2, 2015, 9:18 pm
Next MULTICHOICE AFRICA KICKS OFF THE BIGGEST CONTENT SHOWCASE IN AFRICA
Previous MKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA LEO
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda leo jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
SASA UNAYESEMA UJENZI SIJUI SAINI ILITIWA MWAKA 2016 HEBU KUWA MAKINI SANA HILI DARAJA KIKWETE AMELISIMAMIA SANA. TATIZO MAGUFULI ALIHAKIKISHA MAZUNGUMZO YA AWALI ANAYAFUTA ANAANZA UPYA ILI APATE SIFA YEYE, THAT IS WHAT HAPPENED TO TERMINAL 3, BAGAMOYO PORT AND HILO DARAJA.