Jerry Silaa awakashifu watanzania watumiao JF

Status
Not open for further replies.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,440
92,800
Wakuu sasa JF imeshakuwa kero kwa wanasiasa wachovu na waoga wa kutoka chama cha Magamba, na sasa nina uhakika hata JK huwa tuko nae humu ila ni uoga wao tu ndio maana wanaogopa kujiunga maana hawana jipya. nimecopy na kupaste hapa comment ya huyu msanii meya wa Ilala kwenye wall ya Nape Nnauye anayolalamika kwamba JF inamsakama.

  • Jerry Silaa
    Comrade union mimi napita jf ujue nimekosa cha kufanya. Wale watu sijui huwa wanafikiria nini. Pliz muasisi kama huna moyo usikatize huko. Watakukatisha tamaa. Ni vyema wakacomment kwenye social network kama fb kama wana confidence tuwajue na misimamo yao. Mmoja alinishambulia halafu anauliza hivi mayor anachaguliwa au kuteuliwa,duh hapo ndio nilipochoka. Viongozi bora hawakatai kukosolewa, tukosoane hadharani na hii ndio itatujenga.
    8 hours ago · Like
 
safi sana si wangesema tuu JF imewasaidia sana kwenye kuvua magamba yao!
 
Hahshhaha safi
Sana vizuri kusikia mnaingiaga humu
Na bado JF tu wawazi sana karibu tena
 
Jerry slaa yuko right na nadhani ile post imeonyesha kwamba kama una roho ndogo usiingie JF, pia anasema haingii kama hana cha kufanya which is good

Issue nyingine tamu ni pale aliposema kuna member wanaocomment wakati hawajui hata meya anachaguliwa vipi... he has a point

Nevertheless, i dont think JF is that low au weak; ni very few members na yeye kama mwanagamba lazima a-pick on a few weak members kupata scores

Jerry, unfortunately is not as gifted as he thinks... kama meya ameshindwa kung'amua mengi tu zaidi ya income generation... we will prpare a nice dossier for him
 
Nimepita facebook nimeona utumbo aliouandika,sn facebook wanasiasa waoga hasa ktk kujibu hoja ndio kimbilio lao.Wanapenda kusifiwa tu Kama wafalme na hakuna changamoto ya kuwabana zaidi ya wao kuuza sura tu
 
Watawala siku zote wanapenda ujiko na pongozi ukimkosoa tu basi wewe ni adui yake
 
Wakuu sasa JF imeshakuwa kero kwa wanasiasa wachovu na waoga wa kutoka chama cha Magamba, na sasa nina uhakika hata JK huwa tuko nae humu ila ni uoga wao tu ndio maana wanaogopa kujiunga maana hawana jipya. nimecopy na kupaste hapa comment ya huyu msanii meya wa Ilala kwenye wall ya Nape Nnauye anayolalamika kwamba JF inamsakama.

  • Jerry Silaa Comrade union mimi napita jf ujue nimekosa cha kufanya. Wale watu sijui huwa wanafikiria nini. Pliz muasisi kama huna moyo usikatize huko. Watakukatisha tamaa. Ni vyema wakacomment kwenye social network kama fb kama wana confidence tuwajue na misimamo yao. Mmoja alinishambulia halafu anauliza hivi mayor anachaguliwa au kuteuliwa,duh hapo ndio nilipochoka. Viongozi bora hawakatai kukosolewa, tukosoane hadharani na hii ndio itatujenga.
    8 hours ago · Like
Matola, ili jf isonge mbele, nasi lazima tukubali kukosolewa. Yako mambo ya msingi ambayo Mhe. Gerry Silaa ameyazungumzia, akimaanisha wengi wa members wa JF wanatumia pen names, hivyo wanazungumza, kukosoa, kukashifu na hata mara nyingine, kutukana huku wakiwa nyuma ya pazia kwa pen names zao, hivyo sio majina halisi, kwake yeye mtu ukitumia jina ambao sio halisi, basi wewe unakuwa sio mtu halisi!. Anamaanisha kama members humu tuko genuine na bold enough, tuingie kwa majina yetu halisi, ili hizo criticisim ndio zionekane constractive- he has a point.

Muelimisheni Mstahiki Meya, humu JF hatuuzi sura kama fb, wala hatuna haja ya kuangaliana usoni au kujua nani kasema nini as if tunapanga kukutana kwa kikombe cha chai. JF ni kumwagwa kwa nondo tuu na kibishana kwa hoja, bila kujali nani ni nani bali nini unachomwaga.

Maana angependa criticisim zitinge fb kwa majina, halisi, mbona hata huko fb wana jf tupo wengi tuu, hivyo tutamshukia kiuhalisia huko huko!.
 
Tom and Jerry ama Scooby Do,hizi ni katuni za watoto...JF ni ya watu wazima hatuhitaji michezo ya katuni humu ndani wala wasanii wake,Jerry wewe ni msanii wa hvyo viplay perhaps you go and make your kids funy,Sharobalo Man? A learned bogus!
 
Matola, ili jf isonge mbele, nasi lazima tukubali kukosolewa. Yako mambo ya msingi ambayo Mhe. Gerry Silaa ameyazungumzia, akimaanisha wengi wa members wa JF wanatumia pen names, hivyo wanazungumza, kukosoa, kukashifu na hata mara nyingine, kutukana huku wakiwa nyuma ya pazia kwa pen names. Anamaanisha kama members humu toko genuine na bold enough, tuingie kwa majina yetu halisi, ili hizo cricicisim ndio zionekane contractive- he has a point.

Nakubaliana nae kwa point ya baadhi ya members kuwa hivyo, lakini katika utafiti nilioufanya hapa JF ni pro ccm ndio wanaosababisha haya madudu, maana mtu kama Maralia Sugu hajawahi hata siku moja kuja na thread ambayo ni constructive, zaidi ya kuja kuharibu mijadala, pili tukija kwa members ambao huwa wanakosa ustahamilivu haya ni matunda ya serikali ya ccm kuwapa watu maisha magumu mpaka wamejenga chuki isiyo na mfano kwa ccm. wito wangu ni kwamba member wote makini wajitahidi kuja na mada motomoto ili kuzidisha heshima ya hii forum. leo hii JF unaweza ukawa na mada ya msingi lakini heading usipoweka ya kiudaku basi hiyo thread inaweza isisomwe na wadau. hii imeshatokea kwangu.
 
Ndipo upeo wake umemfikisha...aina hii ya watu ina hasara sana maishani kwa kua wanadhani kua wanajua kila kitu hivyo hawajifunzi zaidi! Shame upon u Jerry na nikupe tu angalizo...tazama vizuri tawi ulilojishikilia perhaps litang'oka tu muda wowote!
 
Jerry who??? Nae huyo pia anasumbua!! Sidhani kama ana haiba yoyote katika chama cha magamba, sawa ni Mheshimiwa lakini bado kinda sana kuweza juponda mawazo yasiyo na woga kama haya hapa JF, Siamini mfupa uliowashinda wenye magamba kama mamba atakua yeye??? Ushauri kwake.. Kama anahitaji changamoto basi aitumie JF kama anahitaji kuabudiwa aende michuzi, FB au blogspot nyingine,. hapa watu wako serious na mustaqabali wa nchi yetu sio sifa zisizo na kichwa wala miguu.... period
 
JF kama ilivyo inaheshima yake na iko juu ukitoa kasoro ndogo ndogo wa watu wachache kutumia lugha za matusi, nimeshiriki kwenye forum nyingi za watanzania JF iko juu sana na sidhani kama kwa siku za karibuni kuna forum ya watanzania itaipiku. Jerry Slaa ni woga wa maraka alionao na kukosa vision ya kuendeleza jiji badala ya kukaa na kutengeneza parking city center wamekalia kukaa vikao vya kuuza open span space
 
Wakuu sasa JF imeshakuwa kero kwa wanasiasa wachovu na waoga wa kutoka chama cha Magamba, na sasa nina uhakika hata JK huwa tuko nae humu ila ni uoga wao tu ndio maana wanaogopa kujiunga maana hawana jipya. nimecopy na kupaste hapa comment ya huyu msanii meya wa Ilala kwenye wall ya Nape Nnauye anayolalamika kwamba JF inamsakama.

  • Jerry Silaa Comrade union mimi napita jf ujue nimekosa cha kufanya. Wale watu sijui huwa wanafikiria nini. Pliz muasisi kama huna moyo usikatize huko. Watakukatisha tamaa. Ni vyema wakacomment kwenye social network kama fb kama wana confidence tuwajue na misimamo yao. Mmoja alinishambulia halafu anauliza hivi mayor anachaguliwa au kuteuliwa,duh hapo ndio nilipochoka. Viongozi bora hawakatai kukosolewa, tukosoane hadharani na hii ndio itatujenga.
    8 hours ago · Like

Kukosolewa hakujalishi ni hadharani ama mafichoni.. kama makosa yapo na yamesemwa ndio cha msingi
 
Hahahaaaa kumbe wanaisoma kimoyomoyo eeeh! Big Up JF am proud to be part of it!!!! Hebu kama kuna mtu ana ka CV kake akaweke kabisa hapa jamvini ili achoke vizuri!!!! asante JF
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom