Jerry silaa ashinda umeya

Mlimilavangi

Member
Nov 11, 2010
8
0
Hatimaye manispaa ya ilala imepata meya mpya ambaye ni ndugu Jerry Silaa, amewashinda Abuu Juma, aliyekuwa meya na Bisalala Salum, taarifa zaidi baadae
 
Duuuu balaaa sana kijana anatishaaa,...ana upeoo mkubwa sana kuwakilishaa hongera kijanaa slaa
 
Nilijua tu, pamoja na kuwa ni Msomi lakini ni Mwanamtandao huyo nyuma yake kuna watu
 
Hatimaye manispaa ya ilala imepata meya mpya ambaye ni ndugu Jerry Silaa, amewashinda Abuu Juma, aliyekuwa meya na Bisalala Salum, taarifa zaidi baadae
2010-12-15_1224.png

Hivi ni kweli kashinda? hii inaonekana ni post yako ya kwanza ila unaonekana ni mzoefu humu ndani. usikute watuingiza chaka ndugu.
 
Hizi ni chaguzi ndani ya CCM, waliopitishwa watachuana na wagombea wa vyama vingine (vyenye wadiwani) tarehe 17/12/2010. Taarifa kutoka kinondoni aliyepitishwa CCM ni Yusuph Mwenda
 
Uuuuh safi sana nimefurahi kusikia kama Mpiganaji Yusuph Juma Mwenda ameshinda Kinondoni,hii ni habari nzuri sana kwangu kwa leo.
 
2010-12-15_1224.png

Hivi ni kweli kashinda? hii inaonekana ni post yako ya kwanza ila unaonekana ni mzoefu humu ndani. usikute watuingiza chaka ndugu.

Paulo mi naonekana junia kwa jina tu, lakini nimeingia JF tangu 2007, wewe je??sema nimembadili jina, nikaamua kutumia jina la nyumbani kabisa, usijali hata hivo ni vijimambo tu hivi, habari hii ni yakweli kabisa.
 
Nilijua tu, pamoja na kuwa ni Msomi lakini ni Mwanamtandao huyo nyuma yake kuna watu

Kaka usijali sana kuwa na mtandao, ukweli ni kuwa labda uingie kwa kupindua kama Kagame, hapo hutakuwa na mtandao, ingawaje hata huko nachelea kusema hakutakuwa na mtandao, .......hili swala ni gumu sana, huna najiuliza tufanyeje bila hivo??mwisho wa siku unagundua huwezi kufanya jambo pekeako, unahitaji msaada......tuombe mungu, may be itatokea siku mitandao isiwe na influence.
 
Mlimilavangi....kwanza nikukaribishe homeboy! kamwene bwana; sasa uoni kuwa mwanamtamtandao kutaharibu haiba mnayo dai kuwa anayo huyu bwana?
 
Mlimilavangi....kwanza nikukaribishe homeboy! kamwene bwana; sasa uoni kuwa mwanamtamtandao kutaharibu haiba mnayo dai kuwa anayo huyu bwana?

Kamwene ndugu yangu, ki ukweli sijui kama ni mwanamtandao au vipi, hoja yangu nikuwa nimekuwa nikijiuliza sana what does mtandao stand for??? ni wale ambao wapo kwenye kundi la RA, EL au SS mwenyewe, akiiibuka mwingine akawa upande Bakharesa,Mengi, Manji,Mlimilavangi, Superstaa na wengine wengi unaoweza kuwafikiri, how many mitandaoz tutaisema, kiufupi ni shida sana kusema utashinda uongozi wowote bila support, hata wanaogombea ubunge huwa wanatembeza bakuli, that is mtandao tayari, huyu uliyemuomba msaada kuna siku ataleta shida yako, how can u say no to that person?? the can u win without that support hata ya kubandika matangazo, au mabango??ni ngumu sana, mchana mwema ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom