Jerry Murro ndani ya Channel Ten akiongelea kuhusu madawa!

Kinambeu

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
906
454
Jerry Murro ndani ya channel Ten akiongelea kuhusu madawa ya kulevya!

Naona Kama anaegemea upande mmoja.......
 
anaegemea upande gani wakuu,inaonekana ni mh makonda ndo maana inzi wanapita kando au?
 
Anasema ameenda polis kufungua jalada na kwamba Trca amereport pia...na kwamba amerekodi ingine ili kulinganisha
 
Madawa ya kulevya ni hatari ...hatari...hatari...hatari saaana.Mimi na wewe tuyapige vita kwa nguvu zooote.
Kipindi cha leo tumenyimwa haki yetu ya kuchangia au kuuliza.
 
Mtu kama Muro ni mchumia tumbo tu.aliwahi kupata kashfa ya kupiga pingu watu na kuwatisha kuwa atawatangaza ni wala rushwa
 
Back
Top Bottom