Jerry Muro Kumng'oa Mdee Mapema Sana 2015.

Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
103
55
Wakati Joto La Kisiasa Likiendelea Kukua Hapa Nchini Kuelekea 2015, Jimbo La Kawe Lina Mpambano Mkali Sana Wa Ndani Unaoendelea Pia.
mpambano Wenyewe Ni Mbio Za Ubunge Za Jimbo Hilo Ambapo Sasa Kundi La Mbunge Wa Sasa Halima James Mdee Linajipanga Kuhakikisha Linakamata Nafasi Zote Muhimu Kuanzia Tawi, Kata Mpaka Jimbo Ili Kumrahisishia Ushindi Mdee Katika Kura Za Maoni,
lakini Kwa Upande Wa Pili Mwanasiasa Kijana Jerry Muro Anayetarajia Kuacha Kazi Tbc Mwakani Ili Kuanza Rasmi Harakati Zake Ameshajipanga Vizuri Kumng'oa Mdee Kwan Kundi Lake Ni Lile Lililokuwa Likiupinga Uongozi Wa Sasa Wa Jimbo La Kawe Chini Ya Katibu Mbaga Na Mwenyekiti Wa Vijana Mfinanga..
mtonyo Wa Ndani Unasema Jerry Muro Atakutana Na Vijana Wake Wanaojiandaa Kugombea Bavicha Jimbo, Bawacha Jimbo, Wazee Jimbo Na Chadema Jimbo Ili Kukamilisha Mipango Ya Mwisho Ya Kumng'oa Mdee.
kijana Gerald Patrick, Byamungu Pamoja Na Sagati William Wanatajwa Kuwa Vinara Wa Mpango Huu.
 
wakati joto la kisiasa
likiendelea kukua hapa nchini kuelekea 2015, jimbo la kawe lina mpambano
mkali sana wa ndani unaoendelea pia.
Mpambano wenyewe ni mbio za ubunge za jimbo hilo ambapo sasa kundi la
mbunge wa sasa halima james mdee linajipanga kuhakikisha linakamata
nafasi zote muhimu kuanzia tawi, kata mpaka jimbo ili kumrahisishia
ushindi mdee katika kura za maoni,
lakini kwa upande wa pili mwanasiasa kijana jerry muro anayetarajia
kuacha kazi tbc mwakani ili kuanza rasmi harakati zake ameshajipanga
vizuri kumng'oa mdee kwan kundi lake ni lile lililokuwa likiupinga
uongozi wa sasa wa jimbo la kawe chini ya katibu mbaga na mwenyekiti wa
vijana mfinanga..
Mtonyo wa ndani unasema jerry muro atakutana na vijana wake wanaojiandaa
kugombea bavicha jimbo, bawacha jimbo, wazee jimbo na chadema jimbo ili
kukamilisha mipango ya mwisho ya kumng'oa mdee.
Kijana gerald patrick, byamungu pamoja na sagati william wanatajwa kuwa
vinara wa mpango huu.
lile dili la kwenda kutangazia cnn liliishia wapi mara kaibukia kwenye ubunge ngoja tuone mwisho wa move hii
 
suala la ubunge wa kawe ni maamuzi ya wanachama wa cdm jimbo la kawe.ikifika wakati sisi wanakawe tutachambua na kuweka pumba pembeni.hakuna mwenye hatimiliki ya jimbo:hata mimi nimetangaza nia
 
Kama ni Chadema basi safi wazee wataongea naye akagombee jimbo lingine tuongeze wabunge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom