Jerry Muro kufanya mkutano na waandishi wa habari Leo saa sita kuwajibu CHADEMA

Hivi mtu binafsi haruhusiwi kuitisha press conference?,hakuna mahali kataja CCM mbona mnamhusisha na chama?,hivi kwanini maisha binafsi na mienendo ya mtu siku hizi vinahushwa na CCM, CDM au CUF???

Mkuu huwa nakuona una ufahamu wa kutosha, hivi hapa unatetea nini? Sasa hivi yoyote anayeitetea serekali au ccm anaweza kuzungumza lolote na popote na asifanywe lolote. Huyo Muro ameshaongea sana kuhusu Lisu na juzi kataka Lema na Nassari wapotezwe. Hakuna hatua yoyote amechukuliwa, je ingekuwa mtu mwingine kaisema serekali au kutaka Makonda apotezwe angeachwa. Huyo Muro ana baraka zote toka juu. Hivyo aachww aongee hicho alichotumwa.
 
Press Conference
Mimi Jerry C. Muro Nitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku ya Jumamosi 07/10/2017 Majira ya saa Sita (12:00 noon ), katika Hotel ya Protea jirani na kanisa la St Pete's Oyerstabay.

AGENDA
Nitajibu tuhuma zilizotolewa Leo Ijumaa 06/10/2017 na Viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambao ni Mhe Godbless Lema - Mbunge Arusha Mjini, Ndugu Benson Kigaila - mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo Chadema.

Nawakaribisha Waandishi wa Habari wote, na wale wa Social Media katika mkutano wangu, Karibuni sana.

Imetolewa na
Jerry C. Muro
Dar es Salaam
06/10/2017

Tubebe pia na mafuta yetu ya Vilainishi?
 
Hivi mkuu mke wake Ni nani? inaonekana ana pesa
Mkewe mwajiriwa wa nabaki africa hana hiyo pesa sema ndio bahati mbaya kaolewa na shoga la kichaga linamtia aibu dada wa watu.

Poleni wanawake...sie tuneumbwa mateso kuhangaika nyie naamini mumeumbwa kuteswa kusononeshwa.... sio kwa tabia mbovu na chafu kama za huyu shoga aliyemuoa huyu mwanamke.
 
Ni vzur Polisi wasitishe mkutano wake wa siasa.Awekwe ndani kwa uchochezi
 
Hivi mtu binafsi haruhusiwi kuitisha press conference?,hakuna mahali kataja CCM mbona mnamhusisha na chama?,hivi kwanini maisha binafsi na mienendo ya mtu siku hizi vinahushwa na CCM, CDM au CUF???
unategemea ataenda kusema nini kama hatakuwa upande wa ccm, wewe umeshasikia kauli zake siku hizi anazobwabwaja, waende wenye muda wao, hatuna muda wa kwenda kumsikiliza, tupo bize tunajenga viwanda
 
Tuongelee ugumu wa maisha na jinsi ya kujinasua katika huu mfumo!
Kumjadili huyu mtu ni kuzidi kumpa sifa asizostahili!
 
Press Conference
Mimi Jerry C. Muro Nitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku ya Jumamosi 07/10/2017 Majira ya saa Sita (12:00 noon ), katika Hotel ya Protea jirani na kanisa la St Pete's Oyerstabay.

AGENDA
Nitajibu tuhuma zilizotolewa Leo Ijumaa 06/10/2017 na Viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambao ni Mhe Godbless Lema - Mbunge Arusha Mjini, Ndugu Benson Kigaila - mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo Chadema.

Nawakaribisha Waandishi wa Habari wote, na wale wa Social Media katika mkutano wangu, Karibuni sana.

Imetolewa na
Jerry C. Muro
Dar es Salaam
06/10/2017
Huyu elton john wa Lumumba hana jipya
 
Haendi kujibu tuhuma dhidi ya serikali,soma uelewe,Lema alimsema yeye kama yeye na yeye anaenda kumjibu Lema,serikali imetokea wapi?,tatizo mnatanguliza uchama na hisia zinavyowatuma

Initials za ID yako zinanifikirisha sana Mkuu. Jmc yako hiyo haimaanishi Jerry muro cornelius? Na hata post yako imeonyesha wazi wazi kabisa kwamba you're the one.
 
Where is kamanda Sirro? Jerry anapaswa kupimwa mkojo. Anataka kuongea na waandishi wa habari yeye kama nani? Hiki ni kiashiria cha fujo na ile intelijensia ya jeshi lazima itumike hapa.
 
Back
Top Bottom