Wanataka kuifanya hiyo mechi kha bunge ? waache uzamani bhana ..je walioko sumbawanga nao wafunge safari kuja kuiangalia hiyo mechi?Msomi gani unabisha at a vitu vipo wazi kabisa.
Unabaki kijisifu eti umesoma marekani,swedeni,na afrika kusini.
Kuwa mpole tu azam warushe iyo mechi kuliko kukaa kupotosha wakati kanuni zipo wazi.
Mimi ninadhani mna miss a point.Msomi gani unabisha at a vitu vipo wazi kabisa.
Unabaki kijisifu eti umesoma marekani,swedeni,na afrika kusini.
Kuwa mpole tu azam warushe iyo mechi kuliko kukaa kupotosha wakati kanuni zipo wazi.
Nadhani ujui ni nini Jery kaongea,naomba ukatafute alichoongea halafu uje kufuta hii comment.Mimi ninadhani mna miss a point.
Yanga ndiye mwenyeji wa mechi hiyo inalipa gharama za kukodi uwanja huo kwa mechi hiyo[host] hivyo wanahaki kuamua utaratibu gani wa kukaa utumike kwa wapenzi wake na pia kwa wapenzi wa timu ya kigeni mbona huu ni utaratibu wa kawaida tu? Ingekuwa mechi ya yanga na simba hapo ingekuwa ni kitu kingine kabisa kwani sehemu wakaazo wapenzi wa timu hizi zinajulikana tangu enzi na enzi lakini kwa mechi hii waacheni jamani
Mambo kasoma wapi inaleta hisia ya wivu fulani hivi[samahani]
Yaani hana usikivu ata kidogo,fujo tupu anachokiongea ata yeye mwenyewe hakijuiNilikuwa namsikiliza jamaa mjuaji sana na si msikivu
Msamehee uyo atakuwa amepiga chibukuNadhani ujui ni nini Jery kaongea,naomba ukatafute alichoongea halafu uje kufuta hii comment.
Haki ya kuonyesha mechi imepewa kampuni nyingine na hiyo kampuni inatakiwa inwasiliane na TFF na Yanga.Lakini Yanga awajajaza form namba 5 ya CAF ambayo itawapa uwezo wa kuonana na ile kampuni iliopewa TV rights.Hiyo mechi TFF hawana haki ya kuingia mkataba na TV yeyote kuonyesha hiyo mechi kwani sio mashindano wanayoyasimamia, gharama za kuiandaa timu hawachangii wanahitaji kupiga kwenye mechi ya wenzao wajipange upya kwa yanga hapo komaeni haswa hakuna live
Uyu jerry murro ni majangaWanataka kuifanya hiyo mechi kha bunge ? waache uzamani bhana ..je walioko sumbawanga nao wafunge safari kuja kuiangalia hiyo mechi?
Cloud FM msimwalike tena kwenye vipindi vyenu vya michezo,unaona adi amevuruga kipindi chenu Leo.