Jerry Muro atangaza kituo cha tv atakachofanyia kazi

Bigman acha ubishi wa kifa...l, humu sio mahali pa matangazo ya link zenu hizo peleka huko huko clouds,humu tupe realistic thngs na great ideas.
 
mwana habari maarufu nchini kwa habari za uchunguzi jerry muro baada ya kukaa nje ya tasnia ya habari sasa ametangaza kuanza rasmi kazi kesho jumapili saa tatu usiku soma hapa :

Millardayo.com/exclusive-jerry-muro-atangaza-kituo-cha-tv-atakachoanza-kufanya-nacho-kazi/

kutaja jina la kituo umeona dili mpaka ulete link au unatangaza hiyo link, sitaitazama hiyo link yako.
 
Kituo gani?? Hizo ni habari ambazo haziko kamili.

mwana habari maarufu nchini kwa habari za uchunguzi jerry muro baada ya kukaa nje ya tasnia ya habari sasa ametangaza kuanza rasmi kazi kesho jumapili saa tatu usiku soma hapa :

millardayo.com/exclusive-jerry-muro-atangaza-kituo-cha-tv-atakachoanza-kufanya-nacho-kazi/
 
Jery muro tunajua wewe ni pandikizi la Ccm tunakuomba usithubutu kuwapotosha wa lalahoi na hoja za kuilinda Ccm ongera ila naimani kuru tbc si matakwa yako
 
Kwisha habari yake,,anaenda kuisafisha serikali kutokana na madudu aliyekuwa anayaripoti.
 
mkuu umeona mbali! Kwani anasema eti vituo vingine vinafanya kazi kimakundi sasa kwani TBC haijaegemea kwa magamba 2? Huyu jamaa soon atanza kujikomba kwa magamba maana alishaonja joto la jiwe.

kujikomba+kujikosha=U-Dc
 
Jerry Muro mi nakukubali,ila tu ntakukubali zaidi kama utakaza uzi uleule bila kuogopa mtu yoyote,

Tunataka uwe mtangazaji wa mfano Tanzania na hatimae afrika,usiogope endeleza harakati zako zilezile,sio uache kuitenda kazi yako kwa ufasaha eti kwakua upo TBC,hatakama serikali ikikuhaidi rushwa ya madaraka usiangalie makunyanzi.Nadhani naweza kuanza kuangalia TBC baada ya muda mrefu
 
gonga abuse, mods watashughulia, ukisoma majibu yake anatoa mapovu tu, hata kumjibu nimeamua niache, si unajua kichaa akichukua nguo hutakiwi kumkimbiza eeh?

Nimeipenda hii Uswe!Maelezo madogo yenye maana Mkuu!
 
Jerry Muro mi nakukubali,ila tu ntakukubali zaidi kama utakaza uzi uleule bila kuogopa mtu yoyote,

Tunataka uwe mtangazaji wa mfano Tanzania na hatimae afrika,usiogope endeleza harakati zako zilezile,sio uache kuitenda kazi yako kwa ufasaha eti kwakua upo TBC,hatakama serikali ikikuhaidi rushwa ya madaraka usiangalie makunyanzi.Nadhani naweza kuanza kuangalia TBC baada ya muda mrefu

Cha msingi abadilike asinyooshee watu kidole ilihali yeye mwenyewe mchafu ...watamtafuta kwenye jundi lao na watampata kwakuwa ni mwenzao wanamjua na wanaweza kumpata wakitaka.
 
All the best...you have survived the test of time! All strong people in the world must do that to survive in this world
 
[h=2]EXCLUSIVE: JERRY MURO ATANGAZA KITUO CHA TV ATAKACHOANZA KUFANYA NACHO KAZI.[/h] Posted: 7th June 2012 by MillardAyo in News

4
Jerry Muro.

Jerry Muro Mtangazaji/Mwandishi wa habari ambae alisimama kufanya kazi kwa miezi kutokana na kesi ya kuomba rushwa, kesi ambayo baadae alitangazwa kushinda, ametangaza kituo chake cha kazi baada ya wengi kutomuona kwa muda TBC alikokua akifanya kazi.
Jerry amesema anarudi kufanya kazi TBC na jumapili hii saa tatu na nusu usiku ndio kipindi chake cha kwanza kitaanza kuonekana ambapo kitakua kinaingia kwenye siasa, afya, Uchumi na mengine.
Kuhusu kuendelea kutoa habari zake za kufichua maovu, Jerry amesema “ni kazi ambayo iko kwenye damu yangu unajua watu wanaweka matuta barabarani lengo ni kufika mbali japo utafika sehemu utapunguza spidi unaruka tuta unakwenda, sasa hivi tutaifanya kwa ubora zaidi lakini pia sio siku zote tu tuchunguze chunguze kuna saa nyingine inabidi utoe breki alafu uangalie”
Kwenye sentensi nyingine Jerry amethibitisha kwamba wakati alipokua kimya baada ya kushinda kesi kuna vituo vingi vya TV Tanzania ambavyo vilitaka kufanya kazi na yeye lakini alishindwa kwa sababu vituo vingi sasa hivi vinafanya kazi kwa makundi ya kisiasa, vingine vimeegemea upande mmoja ndio maana akaamua atumikie kwanza wananchi.
“Sio kwamba TBC ndio mwisho wangu lakini ni sehemu ambayo naweza kukaa na kuangalia nakwenda wapi nafanya nini sehemu gani, kila kitu lazima kiwe na mwanzo kwa hiyo hilo kwangu ni mwanzo tu lakini kama nafasi nzuri zitajitokeza basi zitapewa nafasi” huo uchunguz gani utakao ufanya ukiwa ktka tbc? Magamba watakuundia zengwe kama tido muhando! Time will tell!
 
uchunguz gani utafanya ukiwa kwenye television ya magamba nao wakuache? Jiandae kuundia zengwe kama la tido muhando! Labda ungekwenda itv kidogo tungekuamini!
 
Back
Top Bottom