Jerry Muro atangaza kituo cha tv atakachofanyia kazi

mwana habari maarufu nchini kwa habari za uchunguzi jerry muro baada ya kukaa nje ya tasnia ya habari sasa ametangaza kuanza rasmi kazi kesho jumapili saa tatu usiku soma hapa :

millardayo.com/exclusive-jerry-muro-atangaza-kituo-cha-tv-atakachoanza-kufanya-nacho-kazi/

wabongo bwana kila kitu siasa.! Si upeleke sehem husika.
 
Isijekuwa kesi imemtisha na kumnyong'onyeza akaanza habari za kujikomba kwa tbc na magamba in general
 
Bi mkubwa nimekumisi! Kumbe upo, nshakutafuta ile mbaya!
Wknd hii vitumbua najikaribisha, achana na watoa povu hawa halifui nguo

gonga abuse, mods watashughulia, ukisoma majibu yake anatoa mapovu tu, hata kumjibu nimeamua niache, si unajua kichaa akichukua nguo hutakiwi kumkimbiza eeh?
 
Watu kama huyu ndio wanaofaa kulambwa ban ili wajifunze kutumia forums, wakirudi wametia akili. Sio mnatuonea sisi, tukionesha mabaya ya Nyerere tunalambwa ban wakati tulikuwepo na anaetulamba ban hakuwepo na anamsikia tu.

haya mkuu, bila Nyerere unavimbiwa nini?
 
"Jerry
amethibitisha kwamba
wakati alipokua kimya
baada ya kushinda kesi
kuna vituo vingi vya TV
Tanzania ambavyo
vilitaka kufanya kazi na
yeye lakini alishindwa
kwa sababu vituo vingi
sasa hivi vinafanya kazi
kwa makundi ya kisiasa,
vingine vimeegemea
upande mmoja ndio
maana akaamua
atumikie kwanza
wananchi" naondoa heshima yangu kwake, kukaa kote nje ya tasnia ya habari hajui kuwa Tb ccm inawafanyia kazi magamba? Huu ni ukilaza wa hali ya juu.
 
Naomba maelekezo jinsi ya kupost topic tafadhali
1. uwe mtu mzima, sio miaka ila akili
2. uwe na busara ya kutosha, kama una wasiwasi na busara yako basi tumia njia mbadala = facebook
3. hoja iwe imejitosheleza na ina mashiko (yaani isiwe nusunusu) kama haijojitosheleza usiilete humu
4. usiwe umekunywa kiloba au chang'aa wakati unataka kupost.
 
Mkuu Uswe! Hahahaha short and clear. Inabidi jamaa kabla ya kupost aende kanisani.
 
Isijekuwa kesi imemtisha na kumnyong'onyeza akaanza habari za kujikomba kwa tbc na magamba in general

mkuu umeona mbali! Kwani anasema eti vituo vingine vinafanya kazi kimakundi sasa kwani TBC haijaegemea kwa magamba 2? Huyu jamaa soon atanza kujikomba kwa magamba maana alishaonja joto la jiwe.
 
"Jerry
amethibitisha kwamba
wakati alipokua kimya
baada ya kushinda kesi
kuna vituo vingi vya TV
Tanzania ambavyo
vilitaka kufanya kazi na
yeye lakini alishindwa
kwa sababu vituo vingi
sasa hivi vinafanya kazi
kwa makundi ya kisiasa,
vingine vimeegemea
upande mmoja ndio
maana akaamua
atumikie kwanza
wananchi" naondoa heshima yangu kwake, kukaa kote nje ya tasnia ya habari hajui kuwa Tb ccm inawafanyia kazi magamba? Huu ni ukilaza wa hali ya juu.

mkuu hapo umenena!
 
Back
Top Bottom