Jeri Murro umewakosea nini TBC1?

Mla rushwa kwenye taasis ya umma anapaswa kufukuzwa haraka
 
Lakini yeye bado ni mtuhumiwa, Mahakama bado haijatia hatiani

Hata kama mahakama itamsafisha, bado tuhuma hizi zinamuweka pabaya sana mbele ya jamii, hebu fikiria vipindi anavyofanya halafu yeye mwenye anahusishwa na rushwa. Nadhani hii ni vyema ikawa funzo kwa wanahabari wengine kama Mathias Byabato kuachana na tamaa na kujiepusha na kashfa za aina yoyote kwa kuwa jamii inawaangalia sana.
 
hivi gazeti hili nalo linaandikaga habari za kweli au za udaku tu? ngoja tusubiri source zingine
 
hapo habari ilionikosha ni hiyo la gindaginda la kihaya!limepiga pesa za pembejeo kufanya matumizi....babu kubwa sana mzee wa katerero ukipata nafasi piga pesa!
 
Aaaa jaman Data kutoka umo mara nyingi huwaga si za kweli lkn Wahenga walisema "Lisemwalo lipo na kama halipo basi ...." endelea kutafuta Sources zngine
 
muro alichezea pabaya,..mweka hazina wage michael alikwiba zile pesa kwa niaba ya ridhiwani&jk ukimjumlisha na celina kombani
 
Pole kaka muro mlango mmoja ukifungwa huku mwingine hufunguka kule. Usijali midamu una taaluma yako ajira bwerereee. Shukuru kwa kila jambo.
 
Kwa kuzingatia utawala wa sheria na kutokuingilia uhuru wa mahakama...... No comments!
 
Jerry Muroo anavuna alichopanda, Nyodo alizoondoka nazo ITV/RADIO ONE, Zilishangaza, sasa yako wapi. . ! Kama aliamini TbC ni kimbilio ameumia. . Lakini mpeni pole zangu
 
tusisahau mazuri aliyoyafanya pia. ila tbc nayo imekuwa na mizengwe kwani hata kuondolewa kwa mkurugenzi wake ilikuwa ni utata mtupu!!!!
 
Jerry Muroo anavuna alichopanda, Nyodo alizoondoka nazo ITV/RADIO ONE, Zilishangaza, sasa yako wapi. . ! Kama aliamini TbC ni kimbilio ameumia. . Lakini mpeni pole zangu
<br />
<br />
Nakumbuka Joyce Muhavile alivyomuhusia wakati anakurupuka kukimbilia tbc. Alimwambia he is in a better place at itv kuliko alipokuwa anakwenda, since alishaanza kupambana na rushwa, serikali ni corrupt hawatampa mwanya. And it has happened. Kijana rudi kwa dada Joyce ama kwingine unapata ajira.
 
Back
Top Bottom