Jerry Muro: Lema alikuwa Rasta, kazi zake za usiku sijazisahau!

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224

Full Transcript!
-Azungumzia Shughuli za Wizi alizokua anazifanya Godbless Lema Kabla hajaingia Bungeni

-Jerry Muro: Lena jitoke ueleze kwenye miaka yako ya 30 ulikua unafanya nini tena wakati una 'dreads'? Zile kazi za usiku ushasema?

-Uteuzi wa Rais Magufuli Hufuata Vigezo Uteuzi wa Chadema Hufuata Manufaa Kuna Mbunge Kateuliwa Na mwenyekiti Mbowe ambaye Kamzalia Mbowe watoto Wawili.

-Jerru Muro: Eti CHADEMA mmekuja na sijui vifaa vyenu vya kunasa sauti toka nje. Mie ndiye niliyeweka rekodi ya kunasa trafiki wala rushwa.
 
Full Transcript!
-Azungumzia Shughuli za Wizi alizokua anazifanya Godbless Lema Kabla hajaingia Bungeni

-Uteuzi wa Rais Magufuli Hufuata Vigezo Uteuzi wa Chadema Hufuata Manufaa Kuna Mbunge Kateuliwa Na mwenyekiti Mbowe ambaye Kamzalia Mbowe watoto Wawili.

Huyu ni genge la wanaotuletea shida hapa nchini na nilisha sema ni muda kidogo tu atajulikana, haya ww unajibizana na mtu mwingine kwann usikabiliane na huyo unaingiza wengine hivi hujijui kuwa ww ni mpumbavu.
 
Back
Top Bottom