Jennifer Lopez mambo gani haya unatuondoa kwenye Escrow sasa.

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
lop.JPG
lop.JPG
lop.JPG
 
Huyu ameshakuwa mtu mzima. Kwangu hamna mzuka kabisa. Awaachie madogo kina Rihanna wafanye haya. Anajidhalilisha tu, umri ushaenda! Akalee watoto wake na ajikite kwenye movies. Asi-force sana mambo, dislocate joints bure. Lopez alikuwa yule wakati nipo secondary na kitu cha 'if you had my love'.

Ngoja nikupe ya Rihanna ya leo baada ya kujua anapendwa na midume humu Jf kaamua kuvaa madela
 
Duh sijui ndio mbuzi kagoma hio, sijui ndio chuma mboga hata sijui ni style gani anajaribu ku-demostrate. Mmghh ngoja nimalizie Escrow kwanza
 
Ngoja nikupe ya Rihanna ya leo baada ya kujua anapendwa na midume humu Jf kaamua kuvaa madela

Rihanna hata akipiga dela au kanzu au hijab yaani ile ya full burkha bado ni ligi nyingine, yaani Premier ligi.
 
hiki kibibi jennifer lopez kinajiona bado kinaweza kwenda sambamba na mabinti wabichi kama kina nick minaj.anyway turudi kwenye ESCROW.
 
i bet huu uzi mda si mrefu utapelekwa lile jukwaa kule chini...manake hii hatare!!
weka mbali na watoto.......
 
Back
Top Bottom