Weupe hawana mvuto hata akikaa uchi poa tu,mbona huku mitaani mbona huwa wanatembea na bikini hakuna hata mtu mwenye habari nao.
Huyu ameshakuwa mtu mzima. Kwangu hamna mzuka kabisa. Awaachie madogo kina Rihanna wafanye haya. Anajidhalilisha tu, umri ushaenda! Akalee watoto wake na ajikite kwenye movies. Asi-force sana mambo, dislocate joints bure. Lopez alikuwa yule wakati nipo secondary na kitu cha 'if you had my love'.
Weupe hawana mvuto hata akikaa uchi poa tu,mbona huku mitaani mbona huwa wanatembea na bikini hakuna hata mtu mwenye habari nao.
Ngoja nikupe ya Rihanna ya leo baada ya kujua anapendwa na midume humu Jf kaamua kuvaa madela