Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

Jennifer Lopez Avalishwa Petei ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake....., Hii Sasa ni mara ya Tano Kuvalishwa pete Tena na Wanaume Tofauti

Cris Judd aliyekuwa dansa wake kushika hatamu ndani ya mwaka mmoja tu penzi chaliii. Mwingine aliyewahi kulamba asali na pete akamvisha ni Muigizaji Ben Affleck couple iliyopewa jina Bennifer ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili tu na kuvunjika. Baadae Jlo alichumbiwa na Muimbaji Marc Anthony na kufanikiwa kuzaa naye watoto wawili mapacha.

View attachment 1045272
View attachment 1045273
Hiyo petei ni ya silver au gold

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamechakata weee yani mpaka basi, kimebaki nini hapo??. Ukichakata nawewe unaambulia mafua maana kanatoa vumbi simchezo 😂😂😂😂😂
 
Huyu mwanamke yawezekana ni sikio linalotaka kulingana na kichwa....

Hakunaga mahusiano ya vichwa viwili ndani ya nyumba,J-LO n ishu ingine asee
 
Back
Top Bottom