Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Jennifer Lopez Avalishwa Petei ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake....., Hii Sasa ni mara ya Tano Kuvalishwa pete Tena na Wanaume Tofauti

Cris Judd aliyekuwa dansa wake kushika hatamu ndani ya mwaka mmoja tu penzi chaliii. Mwingine aliyewahi kulamba asali na pete akamvisha ni Muigizaji Ben Affleck couple iliyopewa jina Bennifer ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili tu na kuvunjika. Baadae Jlo alichumbiwa na Muimbaji Marc Anthony na kufanikiwa kuzaa naye watoto wawili mapacha.




1552543574679.png

1552544251280.png
 
Hahaha maisha bwana yaani anawapanga wanaume kwenye ndoa, wakati huku Asha na Jenifer uchupi wanasema wana gundu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom