Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

Kuna vitu vingine havishutui na sometimes vinapoteza umaana na mvuto,sasa huyu Jeniffer Lopez hii sijui ni pete ya kumi kuvishwa.
 
Huyu dada azeeki sijui siri ni nini, ila ana bahati kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
siri ni kupiga lishe bora, piga tizi kwa viwango staili, acha kulala lala, lala kiwango cha kutosha, achana na stress, ishi happy life, achana na kunywa pombe hovyohovyo na usinywe pombe za hovyo, sio pombe ukiinywa asubuhi ukikata gogo, nyumba nzima inanuka, ukijamba harufu kali hadi unajichukia ujue hiyo sumu sio pombe.
 
Kweli
 
Hmmm
aisee ulivoelezea kamanda
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom