Jennifer Lopez apata kidume mwingine

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
JENNIFER LOPEZ AKA J-LO (ARTIST/ACTRESS)
Jennifer Lopez aka J-Lo ambaye ametemana na baby baba wake,Mark Anthony imefunguliwa kuwa 'anatoka' na Actor Bradley Cooper


BRADLEY COOPER - ACTOR

J-Lo na Mark Anthony waliachana mwezi July na inasemekana alipata kitu cha 'romantic dinner' na Actor Bradley Cooper jijini New York



Source: bloggers
 
hawa ma-hollywooder hawanaga wivu?? Ni kama they are one for everyone and everybody, you drop this you catch another one kama daladala vile.
 
..ila Marc Anthony ndio kiboko yake. alitulia kimyaaa mpaka mapacha wakapatikana
 
hawa ma-hollywooder hawanaga wivu?? Ni kama they are one for everyone and everybody, you drop this you catch another one kama daladala vile.
..mapenzi kiti cha basi....
 
mwacheni aishi bana....maisha yenyewe ya kupulizia haya....
 
Life is short, acheni ale bata bora yeye anafanya live lakini demu za kibongo anakuwa na midume hata minne kwa wakati mmoj.
 
akitoka huyo naingia mie...mpira wa kona huo kila mwenye kichwa na atie ataupiga
 
Kwao 'hollywooders' mapenzi ni kutoka na kila mtu?? Au ndo masharti JLo alopewa na freemason,? Wenye akili fupi wamuige
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom