Jennifer Joseph: History Behind Columbia Pictures’ Beautiful Iconic Torch Lady

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,959
2,000
IMG_20200512_111504_650.jpg


Pichani ni Jenny Joseph A.k.a "The Torch lady" ni Mama wa nyumbani na mama wa watoto 2.

Picha yake (pichani ni maarufu kwenye filamu nyingi za Hollywood) akionekana akiwa amesimama huku kashikilia mwenge unaoangaza mwanga.

Picha hiyo ilitengenezwa na moja ya studio za sinema huko Marekani inayo milikiwa na Michael Heas.

Picha hiyo ilitengenezwa kwa mara ya kwanza mwaka 1992 na mtu aliyetumiwa kutengeneza picha hiyo ni Jenny wakati wa chakula cha mchana wakiwa wamepumzika baada ya chakula.

Picha hiyo ilitengenezwa mara moja tu, lakini inatumika hata sasa wakati wote kwenye sinema nyingi duniani.

Huyu Jenny bado yuko hai mpaka sasa.
1.jpg


Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom