Jennifer Gates (24) is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates

Sisi huku tunazaa huku mtu anawaza akizeeka mtoto aje amtunze tena anashika na calculator kabisa nakujisemea moyoni "ukioa na miaka 27 ukifikisha miaka 60 mtoto ana miaka 33" tunasahau kila kitu ni mipango na unaweza kuoa mapema na hata usivuke 40 tayari UVIKO 19 inakuondoa
Kuoa mapema au sio mapema, nazani sio tatizo. Tatizo ni kupambana na kuwa na upeo wa hayo mapambano ya kujikwamua. Wenzetu wakiwa wanapambana wanakuwa serious wanafikia malengo yao, ni tofauti na sisi.

Sisi ukifanikiwa kidogo, unajiona Dunia ni yako pekee unaanza kuonja na kustarehe kwa kila jambo mwishowe unaanguka. Hilo ndio janga kubwa kwetu sisi.

Endapo tungekuwa na mitazamo kama ya wenzetu au hata kukaribiana tungekuwa katika raiti traki!
 
Upo sahihi mkuu
 
Wabongo kuoa ni first option , ni prestige kuwa na watoto ,kwamba uzeeni watakusaidia .... Kwa wazungu ni tofaut kidog , wazungu wanaoa panapo nafasi , akishajijenga fresh , hata mtoto mmoja , wawili pouw .... Bongo sasa mtu akiwa na vifaranga kumi anaenda mbele ya media kujitangaza na kuomba wasamaria wema wamsomeshee watoto....kweli Tajiri na Mali , maskini na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious brother nakwambia tembea sana sehemu Za utalii unaweza kujikuta unan’goa pisi kali bila kutarajia,kama huyo mtoto wa bill gate akija bongo bila ya taarifa ukikutana nae unaweza usimjue kama ni mtoto wa bill gate zenj tunapiga sana hizo
kweli mwanangu kuna mwana namjua alikua anapiga kazi Seacliff hotel ya mangapwani ailipata pisi ya kigerman now anakula bata Bavaria Munich huko!
 
Back
Top Bottom