Jennifer Gates (24) is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
4,288
2,000
Wabongo kuoa ni first option , ni prestige kuwa na watoto ,kwamba uzeeni watakusaidia .... Kwa wazungu ni tofaut kidog , wazungu wanaoa panapo nafasi , akishajijenga fresh , hata mtoto mmoja , wawili pouw .... Bongo sasa mtu akiwa na vifaranga kumi anaenda mbele ya media kujitangaza na kuomba wasamaria wema wamsomeshee watoto....kweli Tajiri na Mali , maskini na watoto
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,899
2,000
Mtoto wa tajiri mkubwa duniani mwenye uwezo wa kuhudumia vizazi vyake vingi vijavyo anapambana kusoma, tena fani ngumu....
Zamani kama miaka 10 iliyopita, nilimsikia Bill Gate anahojiwa na BBC, alisema pesa ni ya kwake na siyo ya watoto wake. Yuko tayari kuwasaidia watoto kufikia malengo yao ya maisha lakini wasikae wakafikiri kuna maisha bila kufanya kazi.
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
23,308
2,000
Wabongo kuoa ni first option , ni prestige kuwa na watoto ,kwamba uzeeni watakusaidia .... Kwa wazungu ni tofaut kidog , wazungu wanaoa panapo nafasi , akishajijenga fresh , hata mtoto mmoja , wawili pouw .... Bongo sasa mtu akiwa na vifaranga kumi anaenda mbele ya media kujitangaza na kuomba wasamaria wema wamsomeshee watoto....kweli Tajiri na Mali , maskini na watoto
Kuoa ni maendeleo mkuu, na kua na gari pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom