Jenipha Kanumba anafaa sana kuja kuwa wife material

Du
Nimekuwa nafatilia sana filamu za Kanumba, Jinsi binti (Hanipha Daud) almaarufu Jenipha Kanumba alivyoonesha uwezo wake ndio jinsi taswira yake inavyoweza kuja kuonekana katika maisha ya kifamilia. Malezi aliyoyaonesha Kanumba yanaweza kumugeuza hapo baadae kuwa Mke Mwema kwa atakayempata.

Deogratius Nalimi Kisandu
24 Desemba 2017.View attachment 658102
Kumbe kamekua tayari kwa matumizi kitandani
 
Back
Top Bottom