Jenipha Kanumba anafaa sana kuja kuwa wife material

Kumbe huyo dogo keshakua mpaka anavaa sidiria au manyonyo ndo makubwa ? Sasa mwl unakuwa unatamani vibinti hivi wanafunzi wako watakuwa salama kweli ?
 
Mtemi nalim kisandu a.k.a mosqo naona unajaribu kufunguka ya moyoni kupitia mfumo wa kunena kwa lugha
 
Nimekuwa nafatilia sana filamu za Kanumba, Jinsi binti (Hanipha Daud) almaarufu Jenipha Kanumba alivyoonesha uwezo wake ndio jinsi taswira yake inavyoweza kuja kuonekana katika maisha ya kifamilia. Malezi aliyoyaonesha Kanumba yanaweza kumugeuza hapo baadae kuwa Mke Mwema kwa atakayempata.

Deogratius Nalimi Kisandu
24 Desemba 2017.View attachment 658102


Kichwa cha habari na uliyoandika ndani hayaendani ... ''Anafaa sana kuja kuwa'' na ndani umejaza uncertainity. Acha kuhusianisha sinema na maisha halisi, sinema ni matendo yaliyosimamiwa kutokana na uandishi mahiri wakati tabia ni kama ngozi huwa kuivua si kazi rahisi.

Mke ni hatua ya juu kabisa ya uvumilivu, heshima na kujitoa kwa ajili ya wengine kwa maisha yote na si rahisi kumjua the right candidate kwa kutegemea uhusika wa kwenye filamu
 
HUYU BINT KWA KUMWANGALIA TU NI WAZ WAJANJA WASHAKULA KWA CHUMVI, SASA WANAKULA KWA MRIJA.

LABDA UPANDE WA PWANI
 
FB_IMG_1515616260251.jpg
 
Back
Top Bottom