Jenifer Lopez na Marc Antony watarakiana tena trh 17th July 2011.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jenifer Lopez na Marc Antony watarakiana tena trh 17th July 2011..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gagurito, Jul 18, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wakuu kama ni bahati mbaya bt jlo ndio zake, wametengana tena na mumewe, baba ya wanae mapacha kwa mara nyingine tena. Wakati mwingine nahisi kama vile anataka scandal ya kuuzia ulbum yake mpya hivi teh! MMU tujifunze toka kwa hawa, mapenzi hayatabiriki kabisa. Check linki hapo chini: www.ibtimes.com
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Wapo kibiashara sie tunaona kama wametarakia kumbe wao wanauza album yao!!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu hili swala hata mimi nalitazama kwa makengeza, hapa kuna mambo hayapo sawa!
   
Loading...