Jeni Inayohusisha Maziwa ya Mama na IQ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeni Inayohusisha Maziwa ya Mama na IQ

Discussion in 'JF Doctor' started by KingPin, Aug 31, 2009.

 1. K

  KingPin Member

  #1
  Aug 31, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa wachunguzi wa mjini London kuna jen moja (single gene) inayoathiri uwezo wa kiakili (IQ) katika watoto walionyonya maziwa ya mama.

  Watoto wenye jeni aina mojawapo ya FADS2 wanapata namba kubwa zaidi ya IQ katika vipimo vya IQ, iwapo walinyonya maziwa ya mama zao...http://www.mashosti.blogspot.com
   
Loading...