Jengo la Tume ya Uchaguzi ni jengo bora kati ya majengo yote ya Serikali Dodoma

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kwangu mimi Tume ya Taifa ya uchaguzi inaweza kuwa kinara kati ya taasisi zote z serikali zenye majengo dodoma.


Jengo ni zuri hata kupita ofisi ya Rais chamwino.
FB_IMG_1595433499728.jpeg
FB_IMG_1595433497207.jpeg
FB_IMG_1595433532555.jpeg
 
Magufuli anastahili pongezi kwa kuibadilisha Dodoma
Samahani... pamoja na pongezi je hilo jengo na hayo mengine vinazidi thamani ya UDOM?
Ameshakuwa na roho ngumu...
Tutafute sifa zenye tija kwa mambo yenye faida...
Jengo bila katiba ya mwananchi na tume huru ni sawa na koroma la nazi
 
Back
Top Bottom